Duu mpaka nimecheka!!! Kumbe kuna watu wengine haiwasumbui mko poooaa kabisaKama haipati Joto sana we Piga mzigo tu mkuu, mi yangu inakaa miezi haizimwi...
Kuwa makini na Joto tu mkuu, ndio adui mkubwa wa vifaa vya electronic, inatufipisha maisha ya vitu vingi.Duu mpaka nimecheka!!! Kumbe kuna watu wengine haiwasumbui mko poooaa kabisa
Shukran sana Chief Mkwawa
Ni namna gani ya kukabidhiana/kutatua changamoto ya joto kaka?Kuwa makini na Joto tu mkuu, ndio adui mkubwa wa vifaa vya electronic, inatufipisha maisha ya vitu vingi.
ShukraniKuwa makini na Joto tu mkuu, ndio adui mkubwa wa vifaa vya electronic, inatufipisha maisha ya vitu vingi.
Unaiweka sehemu yenye upepo wa kutosha, ama eneo ambapo Joto linaondoka kirahisi. Mfano laptop ambayo ipo juu ya Godoro ni rahisi kupata Joto la haraka kuliko ambayo ipo juu ya tiles.Ni namna gani ya kukabidhiana/kutatua changamoto ya joto kaka?
Mkuu ikikaa kuanzia miezi mitatu bila kuwashwa kuna madhara yanaweza tokea ??Unaiweka sehemu yenye upepo wa kutosha, ama eneo ambapo Joto linaondoka kirahisi. Mfano laptop ambayo ipo juu ya Godoro ni rahisi kupata Joto la haraka kuliko ambayo ipo juu ya tiles.
Kama Una plan kutotumia kifaa chochote kile chenye battery kwa muda mrefu kicharge nusu, hata vifaa vipya kama simu ama laptop vikija kwetu vimekaa miezi kwenye shelf za maduka tunavikuta na charge nusuMkuu ikikaa kuanzia miezi mitatu bila kuwashwa kuna madhara yanaweza tokea ??
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri.Kama Una plan kutotumia kifaa chochote kile chenye battery kwa muda mrefu kicharge nusu, hata vifaa vipya kama simu ama laptop vikija kwetu vimekaa miezi kwenye shelf za maduka tunavikuta na charge nusu
Zima ama toa battery.
Battery ni kitu kimoja kiharibifu sana, ukiacha battery bila charge kwa muda mrefu inaweza kudischarge siku unataka kutumia ikawa kama imekufa isiwake hadi uitoe.
Pia ukiacha battery ina charge 100 kwa muda mrefu battery inaweza kuoza na kuanza kutoa maji, kwa battery za alkaline kama za remote zinatabia ya kutoa hayo maji, na battery za lithium kama za simu zile zina tabia ya kuhifadhi gas ndani (kibongo bongo tunasema imevimba) zote mbili hizi ni hatari.
IACHE KWENYE CHAJA MUDA WOTE.Mi nauliza matumizi mazuri ya betri ya laptop. Je, inabidi nitoe chaja ikijaa wakati naendelea na kazi au iendee kukaa kwenye chaja? Chief-Mkwawa
Iache, laptop za kisasa battery likijaa zinachukua umeme moja kwa moja kwenye adapter na sio battery hivyo battery lako linakuwa haitumiki.Mi nauliza matumizi mazuri ya betri ya laptop. Je, inabidi nitoe chaja ikijaa wakati naendelea na kazi au iendee kukaa kwenye chaja? Chief-Mkwawa
Asante Chief-Mkwawa, maana nimewahi kusikia betri ikijaa chomoa, then ikifika asilimia fulani mfano 15 weka chaja.Iache, laptop za kisasa battery likijaa zinachukua umeme moja kwa moja kwenye adapter na sio battery hivyo battery lako linakuwa haitumiki.
Battery inakufa ikichaji na kudischarge zile seli zake zinapungua uwezo wa kubeba chaji mpaka inakufa.Asante Chief-Mkwawa, maana nimewahi kusikia betri ikijaa chomoa, then ikifika asilimia fulani mfano 15 weka chaja.