Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

Bado huaminiki izo ni pc mbili tofauti embu zingatia picha uliyo upload ikiwa ya kwanza
Mkuu ni moja hiyo wewe nambie una wasi wasi upande gani? Na kwann? Nitume PC mbili tofauti mkuu
 
Bado huaminiki izo ni pc mbili tofauti embu zingatia picha uliyo upload ikiwa ya kwanza
Hapo labda zimepigwa picha sehemu mbili tofauti, kwa boss nilipoinunua na picha za ndani kwangu, mkono wa boss na mkono wangu, hii ni mashine moja tu mkuu
 
Back
Top Bottom