Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

Mokoyo Ni kaka yangu mbona,hata mkuu Kaizer anajua,sema tu sijapenda dadangu Heaven on earth anavyoambiwa vile na mimi kaka yake nasikia!Thread nyingine bwana sijui mods wamesafiri!

wewe wala usichukie my Kaka,watu wengine ni Mamburura tu hum ndani

ndio maana nimekaa kimya ningekuwa heaven wa enzi zile ningekuwa na ban sa hivi......

sa nikilimwa BAN ndugu zangu bado wananihitaji............
 
umevurugwa wewe sio BURE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

i wont even waste my TIME arguing with a person like YOU!!!!!!!!!!!
Malkia wangu toka nikuoe sijawahi kukuona umekasirika kama leo. Nimefutilia kwa makini ni kweli amekuudhi sana, na kama ana busara anapaswa kuomba radhi.

Ngoja nikufuate twende kule tukale Bugger.
 
Malkia wangu toka nikuoe sijawahi kukuona umekasirika kama leo. Nimefutilia kwa makini ni kweli amekuudhi sana, na kama ana busara anapaswa kuomba radhi.

Ngoja nikufuate twende kule tukale Bugger.

Am coming...........tunaenda maeneo gani kwani
 
Wana mmu mambo vipi nawazimia sana watajwa hapo juu natamani nimpate mmoja wao awe mpenz wangu

Unaweza ukakuta Heaven On Earth na Lara 1 ni EX wako.. Mamndenyi ni dada ako, Preta ni mtoto wa ubatizo wa baba ako.
 
Nawafahamu wote lara 1 ana kovu dogo mgongoni,mandenyi kwenye paja ana kidoti na heaven on earth ana michirizi ile ya nanii kwenye mikono

We mwanga nini? Umejuaje nina kovu mgongoni??????????????? Umenistua??????????
 
Hao wote..hawana bikin. Mwanamke bikin. Au umewapendea wanavokua wanavaa machupi yao makubwa?..

wenzio mashalaah!, wamejaaliwa inyez saaaafi,hawaitaj kuvaa bikini,yaani likiwa kwenye chupi bdo linakutoa2 udenda.Ninyi mlopewa ya kukalia2 ndo mvaage bikini ili walau m2pe stim wabish km cc!
 
wewe wala usichukie my Kaka,watu wengine ni Mamburura tu hum ndani

ndio maana nimekaa kimya ningekuwa heaven wa enzi zile ningekuwa na ban sa hivi......

sa nikilimwa BAN ndugu zangu bado wananihitaji............

Poa my dada wangu Heaven on earth,tunakuhitaji sana humu ndani!Busara zako zinahitajika sana.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuwazimia wote kwa uzito ulio sawa! Chagua mmoja! Halafu kwa taarifa yako hakuna msichana anayependa kusikia kuwa unamzimia/unampenda sawa sawa na mwingine!

Hivyo basi kwa uzi wako huu basi andika maumivu maana umeshawakosa wote! Kalaghabaho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…