Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

e4e6aa366f02e8632ca8c9a6a29da534.jpg
 
Unahisi pia bimkubwa ako anamabwana wengine au anagawa FP. Kama ameacha je alipokua kigori huku akiwa na mshua wako alikua anagawa?
Kwan unahisi hakuna wa kupagawa na papuchi yko mpk kufanya lolote akuoa?au hawakuti utamu walioukusudia!?
Je mwanao unamshauri aanze hii biashara itakayomtoa akiwa na umri gani?

We utakuwa unamtaka bi mkubwa wangu, au Mzee baba kakutuma nini maana sikuelewi ujueee.

Bi mkubwa wangu hana mabwana kwa sasa, kwa zamani sijuiiii, ila ni mwanamke wa one man kind of a woman. Anampenda baba yangu kufaaaa. Hata afanye kosa ganii, afanye nini. Inshort furaha ya bi mkubwa iko kwa mdingi. So sidhani kama ataweza ku cheat, sidhaniii. Na wamepitia mengi sanaaaaa. Kama hakucheat enzi hizo miasha yanatula kiboga watoto wadogo sahivi haweziiiii. Afu ni mtu wa Mungu sanaaaa, sanaaa. Ana hofu ya Mungu kubwaaa. Kila asubuhi anaenda kanisani. Sasa Mungu anavoumbua huwezi kuwa mtu wa Mungu afu ukafanya ufirauni. Bi mkubwa wangu kuolewa na mdingi kwake ni kama bahati na muujizaaa wa mtende kuota jangwani. Mzee ndo kila kitu kwake. Aligoma mpaka kwenda ulaya kisa mumeee. Maisha haya.

Unajua wanaume pia ni binadamu, ili mtu akuoe walau umuoneshe ushirikiano na uhakika kwamba huko mbele hutomgeukaaa. na kumla kibogaaa. Sasa mimi huu ungese sitaki. And my ambitions are so big like huge, nafanya mambo makubwa kimchezo mchezooo mpaka wanaume wanagopa wenyewe. Na wanaume naotaka mimi wanioe hawataki kuoa mtu yoyote mpaka warongwe sijuiiii. Aaaaaaaahhhhhh! Mwananume nae akijielewa akawa na akili balaaaa tupu.

Na pia sio waume wazuri. Na pia ni madanga mazuriiii sio waume wazuri. Kama Mkinga hatujaona ila ana watoto wa 2 tayari mama tofauti, hao ni wale naowajua. Wote wa kike, na wote wanaitwa Lara ili tu kunipooza na infidelity zake. Kawaacha wote analea tu watoto. Khaaaaaa! This is the kind of men i am working so hard, busting my a.ss of kuwa free from. But these are the kind of men that are game changers and make shit happen. Na kati ya sisi wa 3 mimi ndo nilienufaika peke yangu sababu mbishiiiii kama shipa. Wenzangu wanasikitisha, wanapewa 150,000 kwa mwezi ya kutunza mtoto. Msiulize shule wanazosoma watoto. VIZURI HAVIKOSI KASORO. Sasa wenzangu ndo maisha yashawapiga mtungooo, mimi nashobokaje kwa mfanoo, bado naramba karata nikiusoma mchezo.

Unaweza kuolewa usipate kitu uishi maisha madogo, wanao wasome shule ndogo, wakati umenawa midanga mikubwa kubwa kama Mkinga. Weeeeeeeeeeeee! Thubutuuuuuuuuuuuu! Tutabanana hapo hapo

Mwanangu atajijua, mi nitamsogeza nitapoishiaaa.
 
lara 1 umemjibu kwa ustaarabu wa hali ya juu huyu mdau ingawa aliuliza swali la kumtusi mama mzazi. Mungu akubariki sana. Ila watu waache mambo ya kuwagusa wazazi wetu kwa matusi na kashfa.

Huyu mimi namjua kitambooooo! Sio mara ya kwanza wala sio ya mwishooo. Mpaka nahisigi anatumwaga na baba nini aje kumpelelezea mambo ya mkewe. Hahahaaaaa! Achana nae.
 
Lala 1 unawashauri nini madent wanaopewa maksi na waalimu kwa kuwagawia nyuchi zao?

Je, unaridhika na mahusiano yako na Mungu?

Natumai unatumia kilevi, if Yes unawashauri nini wanaotumia na wasiotumia?

Kama mjasiliamali, ni fursa zipi unaamini ni mlango tosha wa vijana wengi wasio na ajira kutokea hasa kwa uchumi mbano wa Magu?

Je, unaamini nini katika kupewa kazi binti kupitia kutoa u.chi kwa bosi? Au mwanaume kumpa mambo le shuga mamie bosi?


Nini unaona ni suruhisho kwa kundi kubwa la graduates hasa wa Art wanaoongezeka na hakuna ajira?
 
Huyu mimi namjua kitambooooo! Sio mara ya kwanza wala sio ya mwishooo. Mpaka nahisigi anatumwaga na baba nini aje kumpelelezea mambo ya mkewe. Hahahaaaaa! Achana nae.
Nimecheka sana kwa majibu uliyoyatoa hapa, msalimie mkinga, acha nizime data nijilaze....gudnite to you KLM
 
Ikitokea siku ukabakwa na watu 10 kwa mpigo utatumia mbinu gani mahusiano yako yasivunjike na mpenzi wako
 
so huamini tena katika true love kabisa? hakuna mwanaume yoyote ilishakutokea ukakutana nae ukaloa au kisimi kikaanza kupiga piga chenyewe kwenye chupi? au wewe ni wallet tu?

TRUE LOVE IKO ILA IS VERY VERY ETREMELY TRICKY INATAKA SACRIFISES NYINGI SANAAA, NA KUJIFANYA MJINGAAA SANAAA, TAKING LOADS AND LOADS OF SHIT KIUKWELI INATAKA TRUE AND NOTHING BY THE TRUTH LOVE. Daaaaaaah! Kwangu najiapizaga siku 2 nyingi nashindwaaaaa.

Kama ningkuwa mtu wa True Love basi ningekubali Mkinga tuoane (Sio anioe, hapanaaaaa kabisaaa) Ila wapiiiiii!!!!!!!!! Sifadhilikiiii, sina shukraniiii. Watu wakisema Mkinga mbayaaa mfupi, ataniharibia watoto wanaume wenye pesa kibaooo kisa cha kuzaa vi mapembeleooo na mimi nimo kwenye kuunga mkono hoja. Hahahaaa! Mama anasemaga mwisho wako utakuwa mbaya sanaaaa. Hahahahaaaaa! Kama umeshindwa kumthamini huyu kaka wa watu baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssss. Heheheeeeee

Mi mtu wa FACT NA LOGICS, Philosphy yangu In this world i walk alone. kwanza duaniani kuna watu billion ngapi sijui. Cha kukomaa na mmoja kisaaa? Kama nilimpata mkinga nitapata zaidi yake vile vile.

Wanaume nakutana nao, wananipagawishaaaa sanaa kabla sijawajuaaaa. Nikiwajua sasa pale true love inapohitajika ndo nakuwa sipatikani hewani netwrok hamnaaaa, hamnaaaa.

Mifano michache, kuna bwana nilikuwa nae kuna kipindi na mkinga alivozaa na mttu wa kwanza nikambwagana nae kabisaa kabisaa. Sasa huyu kaka alikuwa mzuriii hatari, msomiii mwenzanguuu, nduguuu sema ndo FRE P hatariii. Akawa anaiambia nimchukulie million 5 kwa maza wangu afanye biashara, hizo pesa zangu nilimkopesha maza. Nikakubali mwanzo cause alikuwa na mawazo viable. Na msione namuita free p mkajua useless aliniuguzaa sanaa, niliumwa hapo kati. Nilivoenda kwa maza alinitukana matusi ya nguoniii mpaka akili ikanikaa sawa. Baadae nilikuja kujua pamoja na logic ya maza, bi mkubwa hakuwa na nia ya kulipa ile hela hata nukta sasa kumdai nikahonge ndo ikamtibua zaidiii. Bora nimsamehe yeye mzazi wangu.

Niakkaa kaa nae kama miaka mi 3, nothing was happening, hapati pesa, ana kazi yake hio hio ya laki 5 nikaona natupa maishaaa hivi hivi. Alicheat na akaomba msamaha something i could have overlooked hakuna serial cheater kama mkinga namsaehe kutokana na njaa zangu ila yule nilimshiki kidedea sio cha nchi hii, nilikuwa namtaftia sababu.

Aliniomba turudiane, nikawa nazungushaaaaa. Akaja kupata kazi bandariii, weeee sio ya kitoto. Nikakubali turudiane sasa akawa ahajasamehe basi kila mda ananikumbusha nilivomla Tigo wakati hana hela. Akacheat tenaaa. Aaaaaah! Afu sahivi si ana pesa hakuomba msamaha wala nini. Akawa anataka automatic forgivenss kama za Mkinga. Kmaninaaaa nika achaa nae.

Akaanza kutaka kunirusha rohooo. Nikarudiana na mkinga. Mpaka alihama mji yuko bandari ya Tanga. Heheheheeeeee! Alitaka kiki nikampa za pikipiki. Sio nili mu exterminate nilimu assasinate kabisaaa.

Sema if i think of it nikiwa nimetuliza akili, na nyege na kila kituuu I COULD HAVE DONE BETTER. He treated me well, basi tu, sina TRUE LOVE.

Na yule punda niliwapa story yake mwaka huu huu nampenda sanaaa, kadakwa hongkong, kapigwa miaka mi 5 jela. Nishaenda China mara 2, kwenda gereza alilofungwa ni $$$200 tu, ila sijaenda na wala mpango wa kwenda sinaaa. Nitakuja kujuta miaka mi 5 baadae akitoka maana wafungwa wa hongkong wana ajiriwa kabisaaa wanalipwa juzi kuna mwanae alikuwa ananiambia atatoka na pesa ndefu sanaaaa.

GET RICH OR DIE TRYING
 
Ikitokea siku ukabakwa na watu 10 kwa mpigo utatumia mbinu gani mahusiano yako yasivunjike na mpenzi wako

Nitafany lolote nijiokeee hata kama kuhatarisha maisha poa tu. Ila haitokuwa kazi rahisi. Ikishindikana kabisaa kabisaaa.

Nitakubali tuuuuuu kwamba basiiiii NAMUACHIA MUNGU ANITETEEEE ATAVOJUA. Wale nawaambia fujo hakunaa, mmoja mmoja ndo mpango, hamna michubukooo hamnaa nini, tupeane starehe, kama nitawamudu wote namuchia Mungu, kama nitapotea kabla sijawamaliza namuachia Mungu anilipie kisasi.

BAADA YA HAPO, NITALALA NA WAGANGA WA DUNIA YOTE KUAZNIA PEMBA MPAKA MUSCAT NIWAOTESHE PAPA USONI. WATAJUTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. POPOTE WALIPO NINAOOO.

Mpenzi nitakuwa mda nae sinaaa, na deal kwanza na wabakaji mpaka niende nao sawa
 
ulianza kupigwa dudu mapema sana hata form four ulikuwa bado? so far hadi leo ushasex na wanaume wangapi? na je huwa unasex mara ngapi kwa week? na huwa unasex na nani ?

Nilikuwa form 5. Nilirushwa darasa moja, hapa nilipo ukaguzi wa Magu siponiii sina cheti cha dara la 7. Form one nimeenda na miaka 11. Maza alikuwa mfanyakazi afu wadada wa kazi wanasumbua miaka mi 2 shuleeee. Sisi wote la 5 anakufanyisha interview ya form 1 ukipass ndo kasha save miaka mi 2. Mi la 5 nilipass ila nikawa mdogo sanaa ikabidi nisome la 6 kwanza ndo nikaenda form 1. Kazi za serikali siombiii mimi na bashite hatuchekani

Kusex sina uhakika sanaa ila nauhakika wa 5 sijafikaaaa. Japo lengo nisivuke 10. So nina nafasi kubwaaaa. Mnakaribishwa heheheeeee! Wenye pesa zenu (Natania ila utani mwingine wa kweli)

Wiki mbona ndogo. Siku hisi si sex sex sanaaaa. Sababu sina njaaa. Najishauri sanaaa, nifanye au nisifanye, nitoe au nisitoeeee. Najivutaaaa sanaaaa. Na nao sex nao kama Mkinga yuko busy sanaaa. Mda mwingi yupo makambako au mkoani kikazi. So kukutana sio kivilee. Nakula pesa ya bureeeeee kabisaaa! Heheeeeeee!
 
Lala 1 unawashauri nini madent wanaopewa maksi na waalimu kwa kuwagawia nyuchi zao?

Je, unaridhika na mahusiano yako na Mungu?

Natumai unatumia kilevi, if Yes unawashauri nini wanaotumia na wasiotumia?

Kama mjasiliamali, ni fursa zipi unaamini ni mlango tosha wa vijana wengi wasio na ajira kutokea hasa kwa uchumi mbano wa Magu?

Je, unaamini nini katika kupewa kazi binti kupitia kutoa u.chi kwa bosi? Au mwanaume kumpa mambo le shuga mamie bosi?


Nini unaona ni suruhisho kwa kundi kubwa la graduates hasa wa Art wanaoongezeka na hakuna ajira?


Kama ni uvivuuu tu waachee ungese wasome na kuweka juhudiii, ila kama shule imewakataa basi haina namna GET THAT DEGREE OR DIE TRYING. Fosini kingi hivo hivo. Mateso ya mda mfupi tu hayo, uchi usipoliwa na mwalimu Tigo italiwa na maishaaaa ooooh. Keep up the fight keep up the grind mpaka degree zipatikane.

Mahusiano yangu na Mungu siridhiki nayoo kabisaa. Kila siku najitahidi kuokokaaa, najitahidi kurudi kundingi. La muhimu NAJITAHIDI sijaridhika na kutofankisha ndo maana najitahidi. Mungu anataka uolewe, usizini, ukae na mume mpaka kifo kiwatenganishe awe free P awe nini. Naomba anipe Nguvu na baraka zake nifanikishe haya mambo yanayo mpendeza.

Wanaotumia watumie kwa uangalifuuu, wawe wanywaji sio walevi . Wasiotumia bora wasitumie na hali hii ya uchumii bora wakomae hivo hivo kutokunywa.

Fursa zipo mahali ulipo. Just look carefully and think outside the box. Mungu ndo anatoa riziki sio Magu.

Kazi kapata hajapata? Anataka nini wakati deal ni fair? Uchi umeliwa kazi umepewaaa sasa usituchosheee. Ingekuwa umetapeliwa uchi kweli tungesaidia kusikitika. La kuwashauri wasi waangushe ma refaa wao. IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED. Haijalishi kama umetoa uchi au Tigo kupata hio kazi, maadamu upo kwenye payroll SHOW THEM WHAT YOU GOT. EXCEL BEYOND MEASURES BABY.

Suluhisho kama alivosema Kingwala WAJIAJIRIIII. Trust me there is no better taste of indepence kama ukiweza kupata pesa bila kuajiriwa, na unapata nyingi sanaaa, na sawa sawa na nguvu unayoweka. JAMANI MJIAJIRIIII LAKI 5 YA SERIKALI ISWATOE ROHO.
 
Nitafany lolote nijiokeee hata kama kuhatarisha maisha poa tu. Ila haitokuwa kazi rahisi. Ikishindikana kabisaa kabisaaa.

Nitakubali tuuuuuu kwamba basiiiii NAMUACHIA MUNGU ANITETEEEE ATAVOJUA. Wale nawaambia fujo hakunaa, mmoja mmoja ndo mpango, hamna michubukooo hamnaa nini, tupeane starehe, kama nitawamudu wote namuchia Mungu, kama nitapotea kabla sijawamaliza namuachia Mungu anilipie kisasi.

BAADA YA HAPO, NITALALA NA WAGANGA WA DUNIA YOTE KUAZNIA PEMBA MPAKA MUSCAT NIWAOTESHE PAPA USONI. WATAJUTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. POPOTE WALIPO NINAOOO.

Mpenzi nitakuwa mda nae sinaaa, na deal kwanza na wabakaji mpaka niende nao sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti utazunguka kote hadi pemba nimecheka sana
 
Back
Top Bottom