Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Waafrika sijui munashida gani hivi kama hutaki mabo mabaya kwenye nchi yako si utende haki shida nini hivi kuruhusu watu wajichagulie kiongozi wanayemtaka inawauma nini ,hii nchi ni ya wote haiwezi kumilikiwa na wakina fulani tu.
 
Wakenya wengi wanamkubali sana huyu mwamba .

Na anatweet yake anasema kama unataka habari nzuri tembele tovuti za utali utazukuta huko.

Alafu mbona ufikiri ata kidogo larry yey kazi yake ni kuripoti tu. Sasa kama hayo mambo yasinge fanyika asingepata cha kurikodi .kwa hiyo issue ya kwanza ni uongozi wa nchi nyingi za african kutumia vyombo vya dola .

Kazi ya larry ni kubwa mno yey anafanya mambo ambayo waandishi wengi wameshindwa .punguza uchawa
 
Lazima mnyooke safari hii. Mlizoea media zenu uchwara.
 
Mmh evidence iko wapi juu ya haya ya bwana madowo? Kama huna evidence yoyote huu nao ni umbea kama umbea mwengine. Tuonyeshe evidence ya yeye kufukuzwa kwenye hivyo vituo!
 
Kwanza elewa maana au ainisho la kitu kitachoitwa news (habari). Kisha tofautisha na PR (Press Release).

Alichotayarisha Larry Madowo ni NEWS. Anachotaka Msigwa kuhusu kuandika mambo ya SGR, flyovers, bwawa la JNHP ni PR.

Kuchafua nchi ni dhana ya CCM. Huwezi kuepuka ukweli kwenye mambo ya kitaifa. CNN na international media nyingine zinatoa news kabambe (na sahihi) za nchi zote duniani hata zinazoadhirisha sana viongozi wao na taasisi za serikali. Wangekuwa wanaandika kuhusu maendeleo pekee basi tungekuwa tunakutana na machapisho ya ki-paradiso kama ya Korea ya Kaskazini.
 
Samia Suluhu Hassan will be dragged out of power; no doubt about that
Sure. After all, she's in a mafia organisation that's riddled with numerous fatal flaws. Having committed such a heinous massacre, it's just a matter of time. Sooner than latter, the seams are going to come apart.
 
sisi tunaelewa motives za international media bahati mbaya larry ni kibaraka tu yeye bila kujijua, mfano huezi kusema umetumia satelite kujua sehem watu wamezikwa hua ni uongo,

kingine ukiwa mwanahabari unatakiwa ufanye balance, for example lini cnn walisharipoti kwamba tz ilikua haina treni mpya sasa wana treni mpya ama lini washaripoti changamoto za wakulima?

so sisi tunaelewa motives zao kabisa na hata ivo wameshafunguliwa mashtaka mda mrefu uko uko icc some days back na tz
 
ameripoti event ambayo hana ushahidi nayo yeye katumiwa picha, what if hakuna kaburi la kondo na what if zile picha zilitengenezwa? media yoyote ambayo ipo credible lazima ureport kitu ambacho upo apo ndo maaana aljazeera hata ndan ndsn syria uko unakuta mwandishi
 
Waafrika sijui munashida gani hivi kama hutaki mabo mabaya kwenye nchi yako si utende haki shida nini hivi kuruhusu watu wajichagulie kiongozi wanayemtaka inawauma nini ,hii nchi ni ya wote haiwezi kumilikiwa na wakina fulani tu.
kwan mmenyimwa kuchagua?
 
icc hawana cha kufanya infact walitimuliwa airport kama huna taarifa, inatubidi kukanusha kwa ajili ya uchumi na sio icc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…