Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Wewe ni nguruwe unayefugwa na Samia. Mambo yanmemharibikia mfugaji wako wewe mabaki ya chakula utayapata wapi?
 
Sorry guy. Hizi lugha za "kibaraka", "mabeberu", "mzalendo", n.k. ni za enzi ya Nyerere. Hizi ni zama za kizazi kilichangaziwa (enlihgtened generation). CCM mnazing'ang'ania propaganda zilizopita ili kuwazuga Watanzania waendelee kuwaabudu.

Mambo ya treni mpya na changamoto za wakulima mnayo kwenye ilani ya CCM, inatosha. CNN inaripoti real news: "Mtu kang'ata mbwa; SIO mbwa kang'ata mtu". Ukitaka kupambana na CNN kaifungulie kesi ya madai huko Atlanta, GA ulipwe bilions US$ - sio ICC. Tanzania haina ubavu huo.
 
Nguruwe ni nguruwe tu hawezi kubadilika.
Maisha yako yaliyosalia ni mateso makubwa kabla hujatengenezwa kuwa kitoweo.
 
wasingekua wanaitwa fake news kama wanareport taarifa halisi
 
Nan kakwambia kila mauaji yanahadhi ya kuitwa uvunjifu wa haki? na nan kakwambia uchaguzi unawahusu watu wa nje? ata tukiamua uchaguzi usifanyike ama tukaamua kusema samia atagombea miaka 20 hakuna wa kumfanya chochote unless ccm wenyewe
We ni kajinga
 
Wapo wengine wanaorusha hivyo vivutio.

Dawa yake ni kuacha maovu ili akose vya kupost.

UMeelewa weww kenge maji.
 
 
wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?
Wakirudishiwa biashara zao which is very possible nanyi mtawafufua mliowaua?
Vipi thama na material things(and mind you they can be replaced) na thamani ya uhai wa binadamu vinalingana?
 
Wakirudishiwa biashara zao which is very possible nanyi mtawafufua mliowaua?
Vipi thama na material things(and mind you they can be replaced) na thamani ya uhai wa binadamu vinalingana?
kama ulikua unajua havilingani kwann ulienda kufanya fujo
 
no wonder trump said they are king of fake news
Today Trump is your standard unit, tomorrow you’ll call him hoax for spitting fire on the She Devil Samuya. Hypocrisy at it finest.
Apart from CNN kuna BBC, DW, F24, EU parliament, AU, SADC, Thabo Mbeki Foundation, Ian Khama(Botswana’s former president) and the is endless. Hawa wote ni CNN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…