Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Wahenga mkiitwa kutoa ushirikiano ,hampokei simu
Screenshot_20251122-021058.png
 
Rob Maher, a professor of electrical and computer engineering at Montana State University who specializes in forensic audio analysis, examined audio extracted from the original video of the shooting.

Based on the time gap between the “crack” sound, the ballistic shockwave of the bullet and the “boom” of the muzzle blast, Maher established the distance between the firearm and microphone of the device that filmed the video to be about 112 meters (367 feet).

—CNN​
🙌🙌🙌
 
Hakuna mwanasayansi mjinga hivi.wewe sio mqanasanyansi wewe ni chawa
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Kuhusu kibali cha Satelite ushapata majibu?
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI
 
Rob Maher, a professor of electrical and computer engineering at Montana State University who specializes in forensic audio analysis, examined audio extracted from the original video of the shooting.

Based on the time gap between the “crack” sound, the ballistic shockwave of the bullet and the “boom” of the muzzle blast, Maher established the distance between the firearm and microphone of the device that filmed the video to be about 112 meters (367 feet).

—CNN​
🙌🙌🙌
Hii hata hao askar wenyewe asilimia 95 naamini hawajui
 
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Vyombo vyote vikubwa vya habari ni taasisi zinazo jitegemea.
Wana vitengo vyote vya uchunguzi vyenye weredi kwenye eneo husika.
Huwa hawakurupuki. Huyo Larry ni msomaji tu wa taarifa. Uchunguzi na maandalizi hufanywa na watu wengi sana.
 
CNN ni taasisi wewe, acha ujinga.
Nikukumbuche tu CNN ni taasisi kubwa kimuundo, kiuchumi, kielimu, teknolojia n.k kuliko hata hako kakikundi kakihuni mnakoita CCM
Trump aliwaita ni FAKE NEWS
 
CNN ni taasisi wewe, acha ujinga.
Nikukumbuche tu CNN ni taasisi kubwa kimuundo, kiuchumi, kielimu, teknolojia n.k kuliko hata hako kakikundi kakihuni mnakoita CCM
Hao CNN si ndiyo mnawapigia kelele humu kwamba vita ya Gaza na Ukraine Wana report Kwa interest za westerners? Kwanza hata Trump alishasema ni fake news
 
Vyombo vyote vikubwa vya habari ni taasisi zinazo jitegemea.
Wana vitengo vyote vya uchunguzi vyenye weredi kwenye eneo husika.
Huwa hawakurupuki. Huyo Larry ni msomaji tu wa taarifa. Uchunguzi na maandalizi hufanywa na watu wengi sana.
Si useme hivyo vyombo vyao tugoogle kama vina usajili na vimefanyia kazi jambo hili?
Hapa tunaenda kwa data na sio mihemuko bro
 
Back
Top Bottom