Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Na wewe judge wa kuangalia nani ana cheti, ccm mna shida gani
 
Girison anakuja kujibu na forensic investigation yake mda sio mrefu. Uwakika niliona itakua ni chai tu(full text) bila audio, video au gphics zozote.

Nimekaa palee! Akija mniite
Girison anasuburi mtaalamu wa picha aliekataliwa katika kesi ya Lissu amsadie kumuandikia script yakuja kuitoa
 
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Lete theory Yako ya uanasayansi
 
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
Wewe chawa, una utaalamu na ujuzi wa forensic kuliko huyu Prof ??
👇

"..Rob Maher, a professor of electrical and computer engineering at Montana State University who specializes in forensic audio analysis, examined audio extracted from the original video of the shooting.

Based on the time gap between the “crack” sound, the ballistic shockwave of the bullet and the “boom” of the muzzle blast, Maher established the distance between the firearm and microphone of the device that filmed the video to be about 112 meters (367 feet)."
 
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwani mwanasheria mkuu, DPP na Nassoro Katuga wanasemaje??
 
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ulitaka wafungwe mdomo na kupangiwa cha kuandika?
 
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?

Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?

Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?

Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tulia sindano ziendelee kuingia
 
CNN hawana credibility yoyote zaidi ya propaganda.Swali ni je nani aliyelipia habari hiyo?
Nenda pale Washington DC media ya CNN
Utawakuta wakupe hivyo vibali
Kama hao wapumbavu wa CCM wanajiamini wakane hii ripoti au waende mahakamani waone kama hawatavuliwa nguo Kwa aibu
 
Back
Top Bottom