ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Amepotosha habari Gani?Uanamuaminije mkenya kwenye kutoa habari ambazo hazina upendeleo wowote wakati Tanzania na Kenya tunagombea watalii miaka yote?
Amepotosha habari Gani?Uanamuaminije mkenya kwenye kutoa habari ambazo hazina upendeleo wowote wakati Tanzania na Kenya tunagombea watalii miaka yote?
CNN ina wataalam wa kada zote, pia inakitengo cha uhakiki(this includes forensic), wanafahamu fika possibilities za kuharibu reputation ndiyo maana waandishi wao huwa wanafanya kazi kijasusi to dig deep and to prove beyond doubts kabla ya kurusha habari. Ukiona wamezusha habari wafungulie mashtaka uone watakavyokuaibisha, unadhani kwanini serikali fafa ya Samia inaogopa kuwafungulia mashtaka?Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
uyo atakuwa anachanganya investigation journalism na forensic ata hajui anaongelea nini ,mwandishi anafanyaje sasa uchunguzi wa kisayansi aisee nchi ngumu hiiKwani wamekwambia wamefanya uchunguzi wa kidaktari au uchunguzi wa matukio yaliotokea kipindi Cha uchafuzi na baada ya uchafuzi?
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mbwembwe za kujustify fake news
Fake news ziko TZ, kikubwa TZ ziwe ni news za kumfurahisha bibi hippopotamus Kizimkazi na CCM ndiyo wanachokubali kichapishwe. No freedom of expression, no accountability, no transparency plus no checks and balances na hiyo ndiyo Bongo, kila habari isiyo ya uchawa ambayo inawaambia ukweli hawataki hata kuisikia huku chawa wapiga debe wao wakijitoa akili na ku-expose upumbavu kwa kutetea ujinga.Mbwembwe za kujustify fake news
Habari zozote zisizoakisi mitazamo ya CCM kwao hawa madogo wa UVCCM ni fake news, these pathetic ass-holes are so brainwashed.CNN wameanza kutoa fake news lini?
Hebu nipe hapa link moja ya fake news waliyotoa.
Habari zozote zisizoakisi mitazamo ya CCM kwao hawa madogo wa UVCCM ni fake news, these pathetic ass-holes are so brainwashed.
Wanata na CNN waanze uchawa wa kusema 'pesa za mama Samia zinajenga nchi', these stupid fools(chawa/UVCCM) are mentally sick.CCM wao wanataka CNN waseme hakukuwa na mauaji.
Wenzenu husomea kile atakacho kuwa anakitangaza ikiwa pamoja na uandishi wa habari, hakuna asiye na digirii ya fani nje ya uandishi wa habari tofauti na sisi tunaopangiwa sehemu ya kutangaza.Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!