Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mwogope sana mjinga mwenye confidenceMsigwa anacho cheti cha ithibati ya ujinga.
Wewe una cheti cha ithibati ya ujinga uliokubuhu.
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI
Hii hata hao askar wenyewe asilimia 95 naamini hawajuiRob Maher, a professor of electrical and computer engineering at Montana State University who specializes in forensic audio analysis, examined audio extracted from the original video of the shooting.🙌🙌🙌
Based on the time gap between the “crack” sound, the ballistic shockwave of the bullet and the “boom” of the muzzle blast, Maher established the distance between the firearm and microphone of the device that filmed the video to be about 112 meters (367 feet).
—CNN
Hawezi kujibu lolote. Tupo hapa.Girison anakuja kujibu na forensic investigation yake mda sio mrefu. Uwakika niliona itakua ni chai tu(full text) bila audio, video au gphics zozote.
Nimekaa palee! Akija mniite
Vyombo vyote vikubwa vya habari ni taasisi zinazo jitegemea.Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hao CNN si ndiyo mnawapigia kelele humu kwamba vita ya Gaza na Ukraine Wana report Kwa interest za westerners? Kwanza hata Trump alishasema ni fake newsCNN ni taasisi wewe, acha ujinga.
Nikukumbuche tu CNN ni taasisi kubwa kimuundo, kiuchumi, kielimu, teknolojia n.k kuliko hata hako kakikundi kakihuni mnakoita CCM
Si useme hivyo vyombo vyao tugoogle kama vina usajili na vimefanyia kazi jambo hili?Vyombo vyote vikubwa vya habari ni taasisi zinazo jitegemea.
Wana vitengo vyote vya uchunguzi vyenye weredi kwenye eneo husika.
Huwa hawakurupuki. Huyo Larry ni msomaji tu wa taarifa. Uchunguzi na maandalizi hufanywa na watu wengi sana.