kule Ukraine walitoa boko la mauaji ya Mji wa BUCHANenda pale Washington DC media ya CNN
Utawakuta wakupe hivyo vibali
Kama hao wapumbavu wa CCM wanajiamini wakane hii ripoti au waende mahakamani waone kama hawatavuliwa nguo Kwa aibu
Kwaiyo unakataa kuwa Watanganyika hawajauliwa Kwa maelfu? Au wewe hoja yako ni ipi?kule Ukraine walitoa boko la mauaji ya Mji wa BUCHA
Wewe unadhani CNN ni Kama vyombo vya udaku vya shithole Tanzania ? ,ile ni taasisi kubwa yenye vitengo vya analysts wa professions mbalimbali tena nguli na vifaa vya technology ya kisasa .Kuna watu kibao mpaka undercover investigative journalists wanaofanya Kazi mithili ya majasusi , uliwahi angalia documentary ya Aljazeera ya the "The Gold Mafia " ? ,Nenda kaiangalie utajifunza kituKwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ameichafua kwenye lipoKwa hiyo unachekelea mkenya lary madowo kutumika kuichafua Tanzania?
Bado una muda wa kujifunza sana kuhusu vyombo hivyo na propaganda ...endelea kujifunzaWewe unadhani CNN ni Kama vyombo vya udaku vya shithole Tanzania ? ,ile ni taasisi kubwa yenye vitengo vya analysts wa professions mbalimbali tena nguli na vifaa vya technology ya kisasa .Kuna watu kibao mpaka undercover investigative journalists wanaofanya Kazi mithili ya majasusi , uliwahi angalia documentary ya Aljazeera ya the "The Gold Mafia " ? ,Nenda kaiangalie utajifunza kitu
Kuna propaganda Gani ?Bado una muda wa kujifunza sana kuhusu vyombo hivyo na propaganda ...endelea kujifunza
Kwani ukijisaidia barabarani na watu wamekuona, unahitaji mtaalam kuthibitisha kinyesi ni cha kwako?Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa hatuendeshwi na mangwini lazima tuhoji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
CNN ipo pale WashingtonKuhusu Forensic investigations larry madowo amefanya kama Ka online tv hivi.huwezi kudanganya wasomi kisa umetumia nembo ya CNN.
Mwenye credibility ni TBCCM.?CNN hawana credibility yoyote zaidi ya propaganda.Swali ni je nani aliyelipia habari hiyo?
Kama polisi wasingefanya mauwaji yale wala kusingekuwa na aina hiyo ya propaganda.Bado una muda wa kujifunza sana kuhusu vyombo hivyo na propaganda ...endelea kujifunza
Ndio nakwambia ukiona wanafanya propaganda basi umewapa sababu ya kufanya hiyo propaganda, ni kama wewe uamuwe kutembea nje uchi halafu uje kulalamika maadui zako kukupiga picha ukiwa uchi na kusambaza hizo pia.Mwaka 2000, 2015 Walifanya propaganda hizo hizo tatizo huwa hamfuatilii