Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

Leo mbona sijamuona?
 
Jinga lao katika ubora wake.

Muda unavyozidi kwenda ndio dunia inajua wanahabari ni wapi na vishoka wa habari wanaotumika na Msigwa .

Hii ni makala ya Larry kuonyesha ajira feki zinazotolewa na warusi kwa wakenya halafu wakifika Urusi hubadilishwa na kupewa mafunzo ya kijeshi kwa muda mfupi kishwa kutangulizwa mbele mstari wa vita na Ukraine.

Na kuna watanzania kule wapo mmoja wao aliuwawa mwaka juzi

Je vishoka wa Msigwa wanaweza kufanya makala kama hii kama tu hapo kwao mamluki wa Uganda waliingia kuua watu na wameshindwa kutoa ripoti ya uchunguzi?


View: https://x.com/i/status/2019088558728835518
 
CNN ina wataalam wa kada zote, pia inakitengo cha uhakiki(this includes forensic), wanafahamu fika possibilities za kuharibu reputation ndiyo maana waandishi wao huwa wanafanya kazi kijasusi to dig deep and to prove beyond doubts kabla ya kurusha habari. Ukiona wamezusha habari wafungulie mashtaka uone watakavyokuaibisha, unadhani kwanini serikali fafa ya Samia inaogopa kuwafungulia mashtaka?
 
Kilichotokea kitamhukumu SAMUYA milele kwa wadanganyika, we will never forget nor forgive until those responsible are brought to justice. We are not chickens or animals, malipo lazima, tunarudia YATAFANYIKA hapa hapa duniani tena kwenye ardhi ya wadanganyika....
 
Kwani wamekwambia wamefanya uchunguzi wa kidaktari au uchunguzi wa matukio yaliotokea kipindi Cha uchafuzi na baada ya uchafuzi?
uyo atakuwa anachanganya investigation journalism na forensic ata hajui anaongelea nini ,mwandishi anafanyaje sasa uchunguzi wa kisayansi aisee nchi ngumu hii
 
 
Mbwembwe za kujustify fake news
Fake news ziko TZ, kikubwa TZ ziwe ni news za kumfurahisha bibi hippopotamus Kizimkazi na CCM ndiyo wanachokubali kichapishwe. No freedom of expression, no accountability, no transparency plus no checks and balances na hiyo ndiyo Bongo, kila habari isiyo ya uchawa ambayo inawaambia ukweli hawataki hata kuisikia huku chawa wapiga debe wao wakijitoa akili na ku-expose upumbavu kwa kutetea ujinga.
 
CNN wameanza kutoa fake news lini?

Hebu nipe hapa link moja ya fake news waliyotoa.
Habari zozote zisizoakisi mitazamo ya CCM kwao hawa madogo wa UVCCM ni fake news, these pathetic ass-holes are so brainwashed.
 
Wenzenu husomea kile atakacho kuwa anakitangaza ikiwa pamoja na uandishi wa habari, hakuna asiye na digirii ya fani nje ya uandishi wa habari tofauti na sisi tunaopangiwa sehemu ya kutangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…