professorv75
New Member
- Sep 13, 2019
- 3
- 3
Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock.
Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na pia ina manage mali zenye thamani isiyppungua Dola Trilioni 25 (USD 25 Trillion)(hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzania Trilioni 57,500/-)
Kiufupi Lary Fink kupitia kampuni aliyoianzisha BLACKROCK akiwa na mwenzake Steve Shwarzman (Ingawa yeye kwa sasa sio tena sehemu ya kampuni hiyo baada ya kuuza umiliki wake) ina manage mali nyingi zaid ya GDP za nchi zote duniani kasoro Marekani ya China.
Lary Fink kama Mwenyekiti na Mkurugenzi mtendaji wa BLACKROCK, sidhani kama nitakosea kusema huyu jamaa ameshikilia uchumi wa Dunia mikononi mwake kwa kuwa BLACKROCK ni kati ya wanahisa wakubwa katika makampuni karibia yote makubwa duniani, baadhi yao ikiwemo hii inayojulikana zaidi (Apple, Meta, Amazon..etc)na mengine mengi.