Hahah jamaa wanazinguaMmeanza kuleta story za vijiweni humu, ni lini Mufuruki aliweka bid ya kununua Liverpool? Any reliable source au source yako ni "trust me bro"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah jamaa wanazinguaMmeanza kuleta story za vijiweni humu, ni lini Mufuruki aliweka bid ya kununua Liverpool? Any reliable source au source yako ni "trust me bro"
Kwa masikini Ila kwa waliozaliwa hela wakaziZoea wakiwa wadogo,Ile Hali iko subconscious hela Ni ishu ya kawaida Kama kupumua tu huwezi jua Mana they do it or they are in "just owning money mode zone" They own it flawlessly and effortlessly. They shouldn't second guess to own money. They are in owning mode no need to work around to announce to world they own it sir. They are just who they are
Forbes hata ukiwalipa wanakuingiza kwenye list.niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.
kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Hujaona Kuna watu wa kawaida sana wanapata let say 300M Ila wanapiga kelele kuliko hao uliowataja.Hata MO alizaliwa akazikuta pesa, na yuko list ya matajiri africa
Tuoneshe hao wengine wenye pesa kuzidi akina MO na bakhresa.
Tuoneshe hao wenye utajiri zaidi ya trilion 5 ambao utajiri wao haujioneshi, taja na sources zao za fedha
Na jamaa hana machawaThat brings my point home kwamba hela haijifichi. Either umezaliwa nazo au ni self-made inaonekana tu. Yusuph Bakhressa mtoto wa Bakhressa hajitangazi ila mzigo wake unaonekana.
Ni kina nani hao? Watajeni basi tuwajue sio mnatuletea stori za vijiweni.niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.
kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Hujaona Kuna watu wa kawaida sana wanapata let say 300M Ila wanapiga kelele kuliko hao uliowataja.
Sasa wewe umejuaje Kama Wana huo ukwasi mkubwa Kama hawajioneshi na majina yao hayapo kwenye list.niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.
kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Sasa wewe umewezaje kujua Wana ukwasi mkubwa na hali ya kiwa hawataki kujulikanaUmenena Vyema.
Mfano mzuri hata hapa kwetu bongo. Acha Tu Kuna Raia Wana Ukwasi Wa Kutisha. Hawataki Kabisa Kujulikana Wala Kuongele
Sasa wewe umewezaje kujua Wana ukwasi mkubwa na hali ya kiwa hawataki kujulikana
Ndio maana wanasema Buy Exposure By Any Cost, Vighorofa viiiwili na V8 tatu ulinganishe na mtu mwenye Net Worth ya $ 1 Billions plus.Yani watu wanapenda bla bla bla tu na story za vijiweni bila statistics
Kuna mzee mmoja mtaani hapa ana ghorofa moja na v8 mbili
Bas watu mtaani utaskia uyu mzee ana pesa sana kushinda hata wakina MO, sema hajioneshi tu
Ukiuliza tupe evidence utaskia we kama huamini sepa[emoji23][emoji23]
Ndio maana wanasema Buy Exposure By Any Cost, Vighorofa viiiwili na V8 tatu ulinganishe na mtu mwenye Net Worth ya $ 1 Billions plus.
Utajiri laziima upimwe kwa Data na watu Kama Forbes watu walioamuua kuacha kazi zao ili ku-Deal na Data also kuna source nyingi ila sio huyu tajiiri hajioneshi huyu ana mbuzi 700, ana mafuso kwa mantiki hii kilamtu atasema Kuna tajiri wake hajulikani.
hivi mtoa mada, unajua thamani halisi ya trilioni moja ya kimarekani ukilinganisha na madafu? unajielewa kweli wewe?Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock.
Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na pia ina manage mali zenye thamani isiyppungua Dola Trilioni 25 (USD 25 Trillion)(hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzania Trilioni 57,500/-)
Kiufupi Lary Fink kupitia kampuni aliyoianzisha BLACKROCK akiwa na mwenzake Steve Shwarzman (Ingawa yeye kwa sasa sio tena sehemu ya kampuni hiyo baada ya kuuza umiliki wake) ina manage mali nyingi zaid ya GDP za nchi zote duniani kasoro Marekani ya China.
Lary Fink kama Mwenyekiti na Mkurugenzi mtendaji wa BLACKROCK, sidhani kama nitakosea kusema huyu jamaa ameshikilia uchumi wa Dunia mikononi mwake kwa kuwa BLACKROCK ni kati ya wanahisa wakubwa katika makampuni karibia yote makubwa duniani, baadhi yao ikiwemo hii inayojulikana zaidi (Apple, Meta, Amazon..etc)na mengine mengi.