Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

Hata MO alizaliwa akazikuta pesa, na yuko list ya matajiri africa

Tuoneshe hao wengine wenye pesa kuzidi akina MO na bakhresa.

Tuoneshe hao wenye utajiri zaidi ya trilion 5 ambao utajiri wao haujioneshi, taja na sources zao za fedha
 
niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.

kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Forbes hata ukiwalipa wanakuingiza kwenye list.
 
Hata MO alizaliwa akazikuta pesa, na yuko list ya matajiri africa

Tuoneshe hao wengine wenye pesa kuzidi akina MO na bakhresa.

Tuoneshe hao wenye utajiri zaidi ya trilion 5 ambao utajiri wao haujioneshi, taja na sources zao za fedha
Hujaona Kuna watu wa kawaida sana wanapata let say 300M Ila wanapiga kelele kuliko hao uliowataja.
 
That brings my point home kwamba hela haijifichi. Either umezaliwa nazo au ni self-made inaonekana tu. Yusuph Bakhressa mtoto wa Bakhressa hajitangazi ila mzigo wake unaonekana.
Na jamaa hana machawa
 
niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.

kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Ni kina nani hao? Watajeni basi tuwajue sio mnatuletea stori za vijiweni.
 
Hujaona Kuna watu wa kawaida sana wanapata let say 300M Ila wanapiga kelele kuliko hao uliowataja.

Sasa 300m ndo hela ya kutishia mtu? Anaeingiza 300m bado sana. Hapa njombe tu watu wanaingiza huo mpunga, huwezi sema eti ndo mabilionea.

MO ana net worth trilion zaidi ya 5 huko unafananisha na hawa wa 300m
 
niliwahi kusoma sehemu, matajiri halisi, wakubwa duniani na wenye nguvu zaidi ya kifedha huwezi kukuta majina yao forbes.

kuna familia zina ukwasi wa kutisha, ila huwezi kuona majina yao forbes.
Sasa wewe umejuaje Kama Wana huo ukwasi mkubwa Kama hawajioneshi na majina yao hayapo kwenye list.
 
Umenena Vyema.

Mfano mzuri hata hapa kwetu bongo. Acha Tu Kuna Raia Wana Ukwasi Wa Kutisha. Hawataki Kabisa Kujulikana Wala Kuongele
Sasa wewe umewezaje kujua Wana ukwasi mkubwa na hali ya kiwa hawataki kujulikana
 
Sasa wewe umewezaje kujua Wana ukwasi mkubwa na hali ya kiwa hawataki kujulikana

Yani watu wanapenda bla bla bla tu na story za vijiweni bila statistics

Kuna mzee mmoja mtaani hapa ana ghorofa moja na v8 mbili

Bas watu mtaani utaskia uyu mzee ana pesa sana kushinda hata wakina MO, sema hajioneshi tu

Ukiuliza tupe evidence utaskia we kama huamini sepa[emoji23][emoji23]
 
Ndio maana wanasema Buy Exposure By Any Cost, Vighorofa viiiwili na V8 tatu ulinganishe na mtu mwenye Net Worth ya $ 1 Billions plus.

Utajiri laziima upimwe kwa Data na watu Kama Forbes watu walioamuua kuacha kazi zao ili ku-Deal na Data also kuna source nyingi ila sio huyu tajiiri hajioneshi huyu ana mbuzi 700, ana mafuso kwa mantiki hii kilamtu atasema Kuna tajiri wake hajulikani.
 
Halafu kitu kingine watu hawajui maana ya net worth, wao wanaangalia tu uyu ana ghorofa kadhaa ana buses 100

Wakati net worth inakua calculated baada ya kutoa madeni yote inayobakia. Mo wanavosema ana net worth ya 2 bilion USD (kama trilion 5 hivi) haimaanishi mali zake zote ndio thamani hio, it means baada ya liabilities zote ndio imebaki hio (it means ukihesabu mali tu alizonazo inazidi hio)

Sasa hawa jamaa wa mtaani wakiona mtu ana semitrailer 20 bas wanaanza kufananisha na matajiri wa bongo, unakuta uyo zote ni za mkopo na haziingii kwenye net worth
 
hivi mtoa mada, unajua thamani halisi ya trilioni moja ya kimarekani ukilinganisha na madafu? unajielewa kweli wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…