Ajali za bodaboda zilikuwa nyingi mwanzoni karibu serikali ingepiga marufuku biashara hii ila sasa zimepungua sana.Kesho akifa ndugu yako urudi hapa kuendelea kuwasisitiza.
Huwa inauma sana ajali ya kizembe inapoondoa uhai wa baba wa mtu,mke wa mtu anayeacha watoto wadogo mayatima.
Bro usiseme zimepungua sema ni kwa sababu wewe taarifa huzipati au hajaguswa mtu wako unaemjua.Ajali za bodaboda zilikuwa nyingi mwanzoni karibu serikali ingepiga marufuku biashara hii ila sasa zimepungua sana.
Na madereva nao waache mawenge.Waimarishe afya zao kwa kula vyakula bora,kupumzika na kuondokana na misongo ya mawazo/ulevi.Waimarishe uoni/macho yao kitaalamu/milo hitajika kulikabili giza.Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea.
Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea kuendesha usiku.
Nawashauri LATRA msibweteke na ajali za mabasi usiku kwani ni suala la muda tu ajali hizo zitapungua na kuwa kiwango cha kawaida. Tunahitaji sana usafiri wa usiku kufanikisha mambo yetu watanzania.