Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Labda hujatumia hiyo barabara Kwa muda mrefu ila yapo magari yanayoanzia mbezi-kimara korogwe-majichumvi(Mabibo jeshini)-external-mabibo-kigogo-karume- mnazi mmojaKwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
Sahihi kabisa kwa Mfano sasa hivi kuna bajaji nyingi sana zinapiga hiyo rout iwe inaingia Soko la ndizi na kutokea maziwa ili kupunguza jamKwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
Mbezi ipi? Zikobili ya Bagamoyo road na Morogoro road.Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
Good Idea......hii route watu wanapata shida sanaKwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
hayo magari ya maji chumvi huwa yakitoka mbezi au mnazi mmoja huwa yamejaza mno kiasi huwezi kupata nafasi kuingia.Labda hujatumia hiyo barabara Kwa muda mrefu ila yapo magari yanayoanzia mbezi-kimara korogwe-majichumvi(Mabibo jeshini)-external-mabibo-kigogo-karume- mnazi mmoja
Sema tu mpangilio wao wakufanya magari yanayo yayotokea mbezi,sinza,mwenge,simu 2000 yaishie mnazi mmoja ndio Huwa si uelewi,mtu unatembea Karibia nusu Ili ufike kivukoni kutokea mnazi mmoja ilihali watu Wa Gogo la mboto wananyoosha tu mpaka kivukoni(kabla ya stendi kuanza kufanyiwa mamboresho)
Umefika Dar kweli wewe?Mbezi ipi? Zikobili ya Bagamoyo road na Morogoro road.
Kuna watu wazito wana miradi ya Bajaji na wanaitegemea sana hii njia.Sahihi kabisa kwa Mfano sasa hivi kuna bajaji nyingi sana zinapiga hiyo rout iwe inaingia Soko la ndizi na kutokea maziwa ili kupunguza jam
Mbezi Luis na Mbezi Tangibovu.Umefika Dar kweli wewe?
Unaijua Morogoro road inayosemwa?Mbezi Luis na Mbezi Tangibovu.
Halafu pale vingunguti gari zipaki wapi??Waanzishe ruti ya mbezi - Vingunguti kupitia kinyerezi,segerea,barakuda hadi vingunguti machinjioni.
Sawa unavyosema ila naona kutakuwa na ugumu wakuanzisha hiyo route sababu Mimi nahisi biashara ya mwendokasi itapungukiwa wateja.hayo magari ya maji chumvi huwa yakitoka mbezi au mnazi mmoja huwa yamejaza mno kiasi huwezi kupata nafasi kuingia.
Mimi nazungumzia Mabibo kupitia morogoro road-ubungo-kimara-Mbezi
Maeneo ya mbezi,kifuru,kinyerezi,Gongo lamboto,Pugu panatakiwa pawe na routes ila tu Mimi Huwa naona changamoto ni barabara na abiria Huwa sio wengi.PIa Gongo la mboto kwenda Mbezi kupitia Malamba mawili...Bonge la shirt cut