LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .

Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
 
Labda hujatumia hiyo barabara Kwa muda mrefu ila yapo magari yanayoanzia mbezi-kimara korogwe-majichumvi(Mabibo jeshini)-external-mabibo-kigogo-karume- mnazi mmoja

Sema tu mpangilio wao wakufanya magari yanayo yayotokea mbezi,sinza,mwenge,simu 2000 yaishie mnazi mmoja ndio Huwa si uelewi,mtu unatembea Karibia nusu Ili ufike kivukoni kutokea mnazi mmoja ilihali watu Wa Gogo la mboto wananyoosha tu mpaka kivukoni(kabla ya stendi kuanza kufanyiwa mamboresho)
 
Waanzishe ruti ya mbezi - Vingunguti kupitia kinyerezi,segerea,barakuda hadi vingunguti machinjioni.
 
Zamani zilikuwepo lakini zilifutwa ili wananchi wapande mabasi ya hovyo ya mwendokasi.Latra wanamatatizo sana.Gari tu za kutoka mbezi Kuja mwenge kupitia ubungo hazipo
 
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .

Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
Sahihi kabisa kwa Mfano sasa hivi kuna bajaji nyingi sana zinapiga hiyo rout iwe inaingia Soko la ndizi na kutokea maziwa ili kupunguza jam
 
Mbezi ipi? Zikobili ya Bagamoyo road na Morogoro road.
 
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .

Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni kuanzisha route hii mpya ya mabasi ya daladala ili kupunguza adha ya usafiri kipindi cha asubuhi ,mchana na jioni.
Good Idea......hii route watu wanapata shida sana
 
PIa Gongo la mboto kwenda Mbezi kupitia Malamba mawili...Bonge la shirt cut
 
Labda hujatumia hiyo barabara Kwa muda mrefu ila yapo magari yanayoanzia mbezi-kimara korogwe-majichumvi(Mabibo jeshini)-external-mabibo-kigogo-karume- mnazi mmoja

Sema tu mpangilio wao wakufanya magari yanayo yayotokea mbezi,sinza,mwenge,simu 2000 yaishie mnazi mmoja ndio Huwa si uelewi,mtu unatembea Karibia nusu Ili ufike kivukoni kutokea mnazi mmoja ilihali watu Wa Gogo la mboto wananyoosha tu mpaka kivukoni(kabla ya stendi kuanza kufanyiwa mamboresho)
hayo magari ya maji chumvi huwa yakitoka mbezi au mnazi mmoja huwa yamejaza mno kiasi huwezi kupata nafasi kuingia.

Mimi nazungumzia Mabibo kupitia morogoro road-ubungo-kimara-Mbezi
 
Sahihi kabisa kwa Mfano sasa hivi kuna bajaji nyingi sana zinapiga hiyo rout iwe inaingia Soko la ndizi na kutokea maziwa ili kupunguza jam
Kuna watu wazito wana miradi ya Bajaji na wanaitegemea sana hii njia.

Nyakati za jioni watu hutozwa sh 2000 kutoka Urafiki kwenda Kimara-Mbezi.

Mwendokasi zikitoka Kariakoo au kivukoni huwa hazisimami urafiki kuchukua abiria.
 
HIVI MNAOULIZA HIZO ROUTES ZOTE HUMU MNAISHI DAR KWELI?? Mbona zote hizo zipo tayari!!
 
Ipakie wanachuo wa NIT??
Mabibo - mbezi hamna abiria, kama umesafiri sana na zile gari za M/mmoja-mbezi via maji chumvi ni abiria wachache sana wanapanda pale.

Na pia mabibo mpaka morogoro road ambako gari za mbezi na mwendokasi ni bwerere.

Wewe kijana ni mvivu kupindukia, unashindwa nini kwenda pale big brother upande mwendokasi, daladala au bajaji ni libuku lako tu, au kwenda mabibo mwisho usubiri za majichumvi.
 
hayo magari ya maji chumvi huwa yakitoka mbezi au mnazi mmoja huwa yamejaza mno kiasi huwezi kupata nafasi kuingia.

Mimi nazungumzia Mabibo kupitia morogoro road-ubungo-kimara-Mbezi
Sawa unavyosema ila naona kutakuwa na ugumu wakuanzisha hiyo route sababu Mimi nahisi biashara ya mwendokasi itapungukiwa wateja.

Kwahiyo hapo ni wao wenyewe kushirikiana na wadau wanahusika na haya mambo ya barabara wajenge chapu chapu barabara ya mwendokasi kutokea kigogo mbuyini ipitie kigogo kuja hapo Mabibo kisha iende big brother ikutane na ya morogoro toad.Mbezi-mnazi mmoja via kigogo road labda wataongeza daladala
 
PIa Gongo la mboto kwenda Mbezi kupitia Malamba mawili...Bonge la shirt cut
Maeneo ya mbezi,kifuru,kinyerezi,Gongo lamboto,Pugu panatakiwa pawe na routes ila tu Mimi Huwa naona changamoto ni barabara na abiria Huwa sio wengi.

Mfano kutokea kifuru kuja kimara temboni kupitia Kwa msingwa nayo ni route nzuri tu ila ishu ni ubora wa barabara.(kuhusu umbali wa route wataongeza wenyewe)
 
Back
Top Bottom