MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo offisini wametulia na wwmye mabusu inaonekana huwezi watishia LATRA tena kama zamani.
Wanashindwa kusimia sheria? Muda mwingi walo kwemye stend za mabus makubwa kule ndio kuna ulaji mkubwa sana na huku kwenye Daladala wamecha wamilik wajioangie nauli.
Basi wafute nauli elekezi ili kila mwemue bus ajipnagie kiwango chake na Market force itaamua.