Hii mbona rahisi sana. Hao BM wapigwe faini kiasi kinachotosha kurudishia hao wanafunzi tofauti ya nauli ya luxury na kawaida na chenji inayobaki iingie kwenye fuko la serikali. Hili likifanyika hakuna kampuni myingine tena itakayokuja kufanya huo upuuzi.