Huyo mlalamikaji naona ana matatizo sana, sidhani kama Hilo ni suala la kuleta hadi hukuHivi hili nalo mnawasubili Latra?
Kama umekata luxury umapandishwa gari ya kawaida waambie wakurudishie pesa iliyozidi.
Bus kabla halijatoka traffic lazima walikaguwe mmewaeleza traffic? Isitoshe namba za Latra pia zipo.
Wabongo tunapenda kulalamika kwa vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wetu na tunaweza kuvikomesha.
Mimi sichezewi na watu wa mabasi hata siku moja nimeshawachomesha wakapigwa faini vwawa kwa kupakiza abiria na kuwakalisha chini kwenye vindoo vya lita 10 kwa safari ndefu ya Tunduma Dar, abiria wote waliozidi walishushwa na bus likalimwa faini.
Wakati vijana wa Kenya wapo bize na revolution vijana wa Tanzania wapo bize kupuliza mimoshi ya shisha.Mambo mengine yanaonyesha jinsi watanzania wengi walivyo wanyonge na wajinga, mtu anashindwa kukomaa na hao vijana wa BM wakatisha tiketi tena vijana wadogo kabisa waseme sababu ya kuchukua nauli kwa bus lisilo la hadhi kulingana na tiketi halafu anakuja kusema serikali ifungie bus..hapo hapo BM kuna namba za LATRA hajui, kero zingine zinasababishwa na ujinga wa muhusika..!
Unatapeliwa vipi wakati mabasi yote yana ofisi?Wewe Sema mmetapeliwa MBEZI LUIS hapo wamelizwa wengi hapo jamaa wamekusanya pesa ndio wakawakodia gari.
Jambo dogo kama hili mtu anashindwa kujisimamia..akili za watanzania zinawaza kulalamika na kusubiri mtu mwingine ndiye achukue hatua kwa shida aliyotengeneza yeye mwenyewe kwa ujinga wake!Wakati vijana wa Kenya wapo bize na revolution vijana wa Tanzania wapo bize kupuliza mimoshi ya shisha.
Kama huwa hausafiri huwezi kujuwa class za mabasi.Binafsi huwa sioni tofauti yoyote ya maana kwenye hayo mabasi ya mikoani, kati ya luxury na kawaida, labda tofauti iliyopo ni hayo majina mawili tu.
Umetumia kigezo gani kuita hilo bus luxury? ukubwa wa nauli au kuna kingine?
Nafikir ww ndio una akili ndogo zaidi, hasa kwenye hoja ya kwanza kwamba serikali imepoteza mapato.Una akili ndogo kama bata
Nauli na huduma nyingine kama chooBinafsi huwa sioni tofauti yoyote ya maana kwenye hayo mabasi ya mikoani, kati ya luxury na kawaida, labda tofauti iliyopo ni hayo majina mawili tu.
Umetumia kigezo gani kuita hilo bus luxury? ukubwa wa nauli au kuna kingine?
HakikaTanzania tabia za kihuni haziwezi kuisha, bora waige ile shule ya KAIZIREGE NA KEMEBOS ya Bukoba wana mabasi yao special kama 50 hivi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi wao mikoani, Anuarite ni shule kubwa ilipaswa wawe na mabasi yao wenyewe kuepuka karaha hizo.
Kwa kukutaka usiweke malalamiko yako kwenye jukwaa lisilo sahihi?! Si umeona wapi hoja yako imeishia?Una akili ndogo kama bata
Mzazi mkuu,inauma saaaaanaDaaah, au wewe ndio mwanafunzi uliotakiwa kusafiri?
Niliwahi kushauri tuwe na jukwaa la masuala ya barabarani...! Labda muda umefika lijengwe hilo jukwaaNafikiri ame-target audience...ni rahisi kuwakuta watoa maamuzi katika jukwaa hili ,tofauti na huko kwingine.
Traffic hawa hawa wa pale Stend au wa kule barabarani....!?Bus kabla halijatoka traffic lazima walikaguwe mmewaeleza traffic? Isitoshe namba za Latra pia zipo.
Wote.Traffic hawa hawa wa pale Stend au wa kule barabarani....!?