Wewe unasifia shule kuwa na mabasi kwa ajili ya kubeba wanafunzi wakati wa likizo likizo zenyewe 2 kwa mwaka huo muda mwingine mabas yote hayo yanafanya kazi gani..?Tanzania tabia za kihuni haziwezi kuisha, bora waige ile shule ya KAIZIREGE NA KEMEBOS ya Bukoba wana mabasi yao special kama 50 hivi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi wao mikoani, Anuarite ni shule kubwa ilipaswa wawe na mabasi yao wenyewe kuepuka karaha hizo.
Ukiwa kwenye luxury unaweza kusafiri umenyoosha miguu? Hiyo luxury inaenda mkoa gani?Kama huwa hausafiri huwezi kujuwa class za mabasi.
Luxury haliwezi kufanana na min luxury au ordinary kwa lolote.
Mimi nikisafiri lazima nipande hasa zile 2 by one.
Anayesafiri kwa luxury zile seat hazibananishwi ni zilezile kutoka kiwandani unaweza kunyoosha miguu ukafika safari yako miguu haijavimba wakati hizi za kawaida wanang'owa viti nakuongeza viti huwezi kunyoosha miguu.
Tirima uone kama ni uwongoMakupa ende enenga umbe kelya
Mkuu acha hizo ,mmepangiwa basi saa kumi na mbili unapofika kituoni unakuta umepanhiwa basi tofauti na ulilokuwa umestahiliUnatapeliwa vipi wakati mabasi yote yana ofisi?
Ukubwa wa nauli na choo, upuuzi mtupu, mtu na akili zako timamu unakaa kwenye bus la 2x2 kama sisi matolu tunabana miguu alafu unaita laxury, kelele mtindo mmoja. Wanawadanganya wajinga kama hawa na kuwapiga hela ndefuBinafsi huwa sioni tofauti yoyote ya maana kwenye hayo mabasi ya mikoani, kati ya luxury na kawaida, labda tofauti iliyopo ni hayo majina mawili tu.
Umetumia kigezo gani kuita hilo bus luxury? ukubwa wa nauli au kuna kingine?
Siku nyingine uliza wakupe simu za LATRA kabla hujapanda bus au kurudi nyumbani na badae kulalamika Jf..Mkuu acha hizo ,mmepangiwa basi saa kumi na mbili unapofika kituoni unakuta umepanhiwa basi tofauti na ulilokuwa umestahili
Wewe endelea kupanda Saibaba tu.Ukiwa kwenye luxury unaweza kusafiri umenyoosha miguu? Hiyo luxury inaenda mkoa gani?
Hakuna mabasi ya luxury TanzaniaWanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya daraja la kawaida.
Wewe hata hatukushangai unavyopenda utata, si hata humu mara kwa mara unagombana na watu kwa sababu za kijinga.Hivi hili nalo mnawasubili Latra?
Kama umekata luxury umapandishwa gari ya kawaida waambie wakurudishie pesa iliyozidi.
Bus kabla halijatoka traffic lazima walikaguwe mmewaeleza traffic? Isitoshe namba za Latra pia zipo.
Wabongo tunapenda kulalamika kwa vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wetu na tunaweza kuvikomesha.
Mimi sichezewi na watu wa mabasi hata siku moja nimeshawachomesha wakapigwa faini vwawa kwa kupakiza abiria na kuwakalisha chini kwenye vindoo vya lita 10 kwa safari ndefu ya Tunduma Dar, abiria wote waliozidi walishushwa na bus likalimwa faini.
Wewe ndio haujapanda luxury na hujui ni kampuni zipi zenye mabasi ya luxury.Hakuna mabasi ya luxury Tanzania
Kinakupwita?Wewe hata hatukushangai unavyopenda utata, si hata humu mara kwa mara unagombana na watu kwa sababu za kijinga.
Huko kwenye jamii yako itakuwa unagombana sana na watu.
Nasisitiza hakuna luxuryWewe ndio haujapanda luxury na hujui ni kampuni zipi zenye mabasi ya luxury.
Mimi na abiria wenzangu ni mhanga wa hilo, wiki tatu zilizopita, ilikuwa safari ya kutoka Dodoma kwenda Dar, ilitakiwa tupande bus la BM luxury ambalo tulikatia tiketi, likaletwa basi la kawaida ambalo halina hata choo ndani.Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli.
Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya daraja la kawaida.
Tunaombeni mamlaka ichukue hatua mara moja kwani huu ni utapeli wa kupindukia na utakuwa na madhara yafutayo:
1: Serikali itakuwa imekosa mapato kwa maana gharama itakuyokuwa kwenye tiketi sio gharama ililipwa na mtoa nauli.
2: Kampuni ya BM inashindwa kutumiza vigezo vilivyowekwa na LATRA