Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

Sipendi miliki vitu vingi vya ovyo au popular

Nakubali sauli, katarama

Sauli akiongeza gari tatu tu au katarama aongeze mbili hali itakuwa mbaya Sana kwao

Ubaya chuma Ni za Bei ghali huwezi zitoa Leo kesho hazitoki pesa itachelewa Rudi

Au na yeye anunua golden dragon kama za Ally's
 
Hivi kikilia ndio spidi imezd au mana nikisafiri nasikia kinalia ila suka hana habari mwendo mchibuyu 100+
kinalia kuanzia km 1 hadi km ya 600!, sioni mantiki lbd kama kingekuwa kinazima au kinasababisha extremely consuption ya mafuta ili ma boss wakokae na madereva kutokukimbia speed kubana mafuta
 
Nimepanda Sana Allys Ikifika 100 Utajua Maana Kishindo Mno
 
Kampuni za mihemko kama hao katarama huwa hazifiki mbali, muda utasema.
 
Tena Maccopolo kabisa Scania. Si haki bora wafungie Higer zinazoangusha kila siku.
 

Basi haziruhusiwi kutembea zaidi ya 80km/h.

Ni Katarama au awaye yote kakiri mwenyewe kutembea 90km/h au zaidi?

Mnapima vipi kasi za mabasi haya mkiwa chini?

Acheni upotoshaji usiokuwa na baraka na wenye biashara hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…