LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).

Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.

KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STAR.

Soma Pia: Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

20240912_135422.jpg

#HABARI Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).

Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.

KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STARView attachment 3094079
Ukipokea la kwao na kumfungulia hoyo habari huwezi kuiona.
 
#HABARI Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).

Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.

KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STARView attachment 3094079
Hili nililiona mapema kabisa😂
 
Duuuuh
 
Daah jauu
 
Ally's na Michina yake Ana hofu ya kupokwa abiria wake wote
Ally's alipotoa zile mchina luxury akajua keshamaliza kazi😁
 
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).

Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.

KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STAR
Hao LLatra wanatumiwa na washindani wa jamaa
 
Back
Top Bottom