Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Haswaa!Kwa hiyo Latra wanataka abiria tupate tabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa!Kwa hiyo Latra wanataka abiria tupate tabu?
Hachana na kumcomper KATARAMA na Ally's Star ✴️, Ally's ni Kampuni inayojitambua na ni Kampuni kubwa sana, punguzeni ushindani wa hizi kampuni kusudi tuweze kupata huduma isiyokuwa na Changamoto za barabarani hasa nyakati za usiku, Kila kampuni aboreshe huduma zake Kwa wateja wake, na Kila kampuni apewe timetable yake....Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).
Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.
KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STAR
Kamwe haiwezi kutokea afu nyie wanazi sijui akili zenu zikoje hao Staff wa Katarama na Allys wakikutana hata hawana shida ni Story tuAlly's na Michina yake Ana hofu ya kupokwa abiria wake wote
Kufanya biashara Nchi hii ni uhani sanaaaMamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).
Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.
KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STAR
WanaziKufanya biashara Nchi hii ni uhani sanaaa
Jamaa kajipigaaa katafuta vyuma.vyenye maana den
Anatolia mtuu mmoja asijua hata bei ya tairi anakufungii
Umewai kusikia Katarama amepata ajalii
Badala ya.kufungia wanaokula mizinga na kuua watuu mtu ambaye hajawai hata gonga kinyonga anafungiwa
Life isn't fair kabisaa. ALLY STAA KAUWA WATU WANGAPI HADI LEO KIPINDI CHA MWAKA HUU.
na wengine kibao
Fitina tuuu Mnazi hujui tuu MkuuWanazi
Allys anahusikaje hapo!??
Daaah, Mkuu tuseme Mwarabu ni Mjanja mjanja kweli Mnazi!??Fitina tuuu Mnazi hujui tuu Mkuu
Kupata ajali na kutofuata utaratibu ni vitu tofauti.Tujifunze ustarabu na kuheshimu taratibu tulizojiwekea.Wewe unaambiwa kampuni imechezea mfumo wewe unaleta mambo ya ajali na porojo zingine za kuswahiili.sasa wewe na hao Latra nani anajua zaidiKufanya biashara Nchi hii ni uhani sanaaa
Jamaa kajipigaaa katafuta vyuma.vyenye maana den
Anatolia mtuu mmoja asijua hata bei ya tairi anakufungii
Umewai kusikia Katarama amepata ajalii
Badala ya.kufungia wanaokula mizinga na kuua watuu mtu ambaye hajawai hata gonga kinyonga anafungiwa
Life isn't fair kabisaa. ALLY STAA KAUWA WATU WANGAPI HADI LEO KIPINDI CHA MWAKA HUU.
na wengine kibao
umeangalia taarifa waliyoitoa LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii kama Instagram na ukajiridhisha kama ni fitina au unajisikia kuandika tu??Hizo ni fitina tu
Sikuwaza kukujibuu ,jibu hili swali wewe unaushaidi gani kwamba wamechezea mfumo ,pili madhara yaliotokea kwa kuchezea mfumo ni yapi maana tungesikia na kuyaonaa ,kwanini ambao hakuchukuliwa hatua kama hizi tumeona madhara za kupoteza ndugu zetuu wengi ,Katarama huu ni mwaka wa tatu anafanya biashara hatujasikia hata ajali ya kukuKupata ajali na kutofuata utaratibu ni vitu tofauti.Tujifunze ustarabu na kuheshimu taratibu tulizojiwekea.Wewe unaambiwa kampuni imechezea mfumo wewe unaleta mambo ya ajali na porojo zingine za kuswahiili.sasa wewe na hao Latra nani anajua zaidi
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...wivu tu katarama kuagiza iriza tu imekuwa nongwa
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...Fitina na roho mbaya za ngozi nyeusi
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...
👇👇👇👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C_05Cr0tILv/?igsh=MW10dWlsbnI0YXhv