LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).

Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa yakikiuka taratibu za mabasi kusafirI usiku na kusababisha ajali za mara kwa mara akitoa wiki moja kwa uongozi wa mabasi hayo kuongeza usimamizi wa mabasi yao.

KATARAMA ameleta mashine za uhakika za iriza naona vita ya uchumi imeanza tena na ALLYS STAR.

Soma Pia: Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo
 
Back
Top Bottom