THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Shida ni mfumo KRISTO,umezalisha wasomi wengi ambao kikubwa wanachokijua ni wizi na ufisadi,tutapeleka muswada wa marekebisho ya Sheria bungeni ili tupate mandate ya ruhusa ya shoot to kill,ili tumalize Moja kwa Moja hili balaa.Hii nchi inahitaji mtu katili kuweka mambo sawa.
Wakija makatili mnawaita madikteta..
Haya sasa wapole mnasema tena hawafai.
Hamueleweki nini mnataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao viongozi wako wanaoshauliwa vibaya ndio mabwegeWagalatia hamjaanza Leo tabia ya kushauri vibaya viongozi na kuwaibia,toka enz za Nyerere nyinyi mmekuwa makonki wa tabia hiyo,no wonder hii nchi imeendelea kuwa stagnant towards development because vision and mission yenu ni kuiba tuh.
Ccm watakwambia mi-5 tena kwa sa100tangu magu amekufa mchwa wako Kila mahali mama hata Hana habari kabisa
Nilikuwa natafuta hii commentHujataja hizo nauli zinazoleta taharuki..
Magu wa Nini kwenye huu Uzi??Tatizo waandishi watanzania na wenyewe wamekua magoigoi hii nchi maskini ametelekezwa tangu magu amekufa mchwa wako Kila mahali mama hata Hana habari kabisa
Kipindi Cha kikwete na nauli ya Mia tatu ilidumu kwa takriban miaka mitano Hadi 2018 ndio ikaletwa 4000 Napo jiwe akabaki nayo Hadi anafarikia nauli zilikuwa Hiyo hyo tu mama amekuja akweka 500 haijakaya mwaka 700 mwkani elf 2000Shida siyo LATRA shida ni yule bibi pale juu
Wacha upumbavu wewe kenge! Kupandisha nauli ni taarifa ama maelewano Kati ya unayempandishia na anayepandisha???Siyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.
Pambaafu kabisa!!
Tatizo hapa ni mama yenu nanhakuna mtu mwingineNilichoshangazwa na LATRA, hali ilikuwa imetulia na wametoka kupandisha nauli mwaka jana.. kwanini wakakaa na kuleta sintofahamu ambayo haikuwepo! Gharama gani za uendeshaji zilizoongezeka ambazo mwaka jana hawakuziweka kwenye consideration wakati wanapandisha nauli mara ya kwanza.
Wafanyabiashara wanataka faida kubwa kuelekea wasafiri wa mwisho wa mwaka wakalobby Latra..
Hawana cha kufanya huko kwenye masanduku ya kuraViongozi hawawezi kujali maisha ya watu wa chini Mkuu.
ACHA WANANCHI WAPITIE MAGUMU ILI NEXT TIME WAJUE CHA KUFANYA KWENYE MASANDUKU YA KURA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Tufanyaje?Tuache lalamika
LATRA ni kibenten wa wamiliki wa mabasi.Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopi
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Kuna viongozi wa chama cha abiria Tanzania walituwakilisha. Na kama hukuridhika ungetoa hayo makalio yako siku walipotoa taarifa ya ongezeko la nauli na siyo kusubiri wakati wa utekelezaji. Pambaafu!Wacha upumbavu wewe kenge! Kupandisha nauli ni taarifa ama maelewano Kati ya unayempandishia na anayepandisha???
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
😄 🤣 Mungu anakuona aise..Bibi yenu anatembea Kama anakanyaga miba. Sasa hivi mabwanyenye yanajipigia tu
Wewe ni mkenya?waTz wapumbavu sana
Samia na CCM yake wapo bize, kutulembulia macho, na kupongezana ujinga tu,Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Aliiba Nini?????Mfuate Magufuli we mbwa. Lile lilikuwa jizi km majizi mengine ila aliweza kupumbaza mazuzu yasioelewa km wewe