mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Tanzania hakuna kupungua ni kupanda tu [emoji1]Ila mbona cjawah kuckia naul ikipungua 🟤
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hakuna kupungua ni kupanda tu [emoji1]Ila mbona cjawah kuckia naul ikipungua 🟤
Simba, yanga, singeli, vigodoro, ngono, kwa mparange, fumanizi, tamthilia na uchawa ndizo habari zinapata Wateja![emoji1787]Watanzania ni biumbe special.Siyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.
Pambaafu kabisa!!
Mkuu uwezo wako wa kufikiri na wananchi unaowatetea upo chini sana.Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho pengine hakijawahi kutokea hapo nyuma.
WANANCHI WATAHARUKI kwasababu wamepata na mshangao,taarifa za ongezeko la nauli hazikutolewa kwa uwazi na wala hazikufafanuliwa mbele ya jamii husika,wananchi wanahisi makondakta au wamiliki wamejiamulia na sio tamko la serikali.
imefikia wakati hadi ugomvi unazuka kwenye vyombo vya usafiri na kufikishana hadi kwenye vituo vya polisi,wanaumia kuona hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya kwa kukandamizwa na kuendelea kubebeshwa mizigo mizito.sasa wanafikiria sehemu ambayo walikuwa wakienda kwa 500,sasa ni 600,ukiwa na 1000,huwezi kwenda kazini na kurudi.
Wananchi wanauliza maswali,kwamba LATRA wanapandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji pamoja na mafuta,je vipato vya wananchi vimekuwa?,je siku siku mafuta yakishuka na nauli zitashuka?
wafanyabiashara wanaonekana wananguvu sana kuliko wananchi wakawaida,ni kwamba wakisema tunapata hasara,wananchi wanyonge wanapandishiwa gharama za maisha,hana subra wafanyabiashara kama walivyo na uvumilivu wananchi wanyonge.
walipa kodi wanaumia ndani kwa ndani kwakuwa hawawezi kupaza sauti zao zikasikika,lakini ukiwauliza wanasema wamechoka sana na sasa wanasubiri muda tu,wanasubiri kile kipindi cha wabukinafaso,waniger,wamali,au hata wakenya na wanaamini kama mambo yataendelea hivi ipo siku yatatokea yale ya Singapore.
VIONGOZI WAKO KIMYA,licha ya yote hayo lakini hakuna kiongozi anaejitokeza na kuwapa faraja wananchi,sio wa upinzani wala aliopo madarakani,watawa hawajali,watu wanasema hawajali kwasababu hayawahusu,wao hawana bajeti ya 1000, dagaa, robo ya unga,mkaa wa mia tatu, wala hawapandi sogea huko, geukia mbele,shikilia bomba, hawaumii kwasbabu hayawagusi haya yanayowagusa wananchi.
viongozi wanautumia upole na uvumilivu wa wananchi kuendelea kuwaumiza,hawafikirii maisha yao,wala ustawi wa vizazi vyao,bali maslahi binafsi,
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Faraja ya nn unataka serikali imetangaza sisi tupo bize nakufuatilia mpira kati ya simba na yanga nani atavuka acha watu nyooshe mpaka tubaki mifupa ndio akili itarudiMamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho pengine hakijawahi kutokea hapo nyuma.
WANANCHI WATAHARUKI kwasababu wamepata na mshangao,taarifa za ongezeko la nauli hazikutolewa kwa uwazi na wala hazikufafanuliwa mbele ya jamii husika,wananchi wanahisi makondakta au wamiliki wamejiamulia na sio tamko la serikali.
imefikia wakati hadi ugomvi unazuka kwenye vyombo vya usafiri na kufikishana hadi kwenye vituo vya polisi,wanaumia kuona hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya kwa kukandamizwa na kuendelea kubebeshwa mizigo mizito.sasa wanafikiria sehemu ambayo walikuwa wakienda kwa 500,sasa ni 600,ukiwa na 1000,huwezi kwenda kazini na kurudi.
Wananchi wanauliza maswali,kwamba LATRA wanapandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji pamoja na mafuta,je vipato vya wananchi vimekuwa?,je siku siku mafuta yakishuka na nauli zitashuka?
wafanyabiashara wanaonekana wananguvu sana kuliko wananchi wakawaida,ni kwamba wakisema tunapata hasara,wananchi wanyonge wanapandishiwa gharama za maisha,hana subra wafanyabiashara kama walivyo na uvumilivu wananchi wanyonge.
walipa kodi wanaumia ndani kwa ndani kwakuwa hawawezi kupaza sauti zao zikasikika,lakini ukiwauliza wanasema wamechoka sana na sasa wanasubiri muda tu,wanasubiri kile kipindi cha wabukinafaso,waniger,wamali,au hata wakenya na wanaamini kama mambo yataendelea hivi ipo siku yatatokea yale ya Singapore.
VIONGOZI WAKO KIMYA,licha ya yote hayo lakini hakuna kiongozi anaejitokeza na kuwapa faraja wananchi,sio wa upinzani wala aliopo madarakani,watawa hawajali,watu wanasema hawajali kwasababu hayawahusu,wao hawana bajeti ya 1000, dagaa, robo ya unga,mkaa wa mia tatu, wala hawapandi sogea huko, geukia mbele,shikilia bomba, hawaumii kwasbabu hayawagusi haya yanayowagusa wananchi.
viongozi wanautumia upole na uvumilivu wa wananchi kuendelea kuwaumiza,hawafikirii maisha yao,wala ustawi wa vizazi vyao,bali maslahi binafsi,
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Hichi ndicho nachoshangaa pia. LATRA wanasema eti kuna makampuni sijui mawili yamelalamika. Ni wazi kuna mchezo mchafu (rushwa) umetumikaNilichoshangazwa na LATRA, hali ilikuwa imetulia na wametoka kupandisha nauli mwaka jana.. kwanini wakakaa na kuleta sintofahamu ambayo haikuwepo! Gharama gani za uendeshaji zilizoongezeka ambazo mwaka jana hawakuziweka kwenye consideration wakati wanapandisha nauli mara ya kwanza.
Wafanyabiashara wanataka faida kubwa kuelekea wasafiri wa mwisho wa mwaka wakalobby Latra..
Hata mimi huku Afghanistan niliona hayaSiyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.
Pambaafu kabisa!!
Toka lini ulionao bei ya mafuta imeshuka Kama si juzi wakati wa korona baada ya viwanda kusitisha uzalishaji?Ukweli uko wazi kwamba vigogo wengi serikalini now wameagiza mabasi iwe kupitia majina Yao halisi au ya wengine na ndio kichocheo Cha nauli kupanda. Mama Samia basi tu acha aendelee kukaa kimya. Hawa watu ndomana magu aliwadhibiti mno! Waandishi wetu nao Wana ukiande Fulani hivi. Wakat huyo mkurugenz wa LATRA anasema sababu za kupanda ni gharama za uendeshaji wangeuliza tu mafuta yakishuka na spea kupungua beo je watashusha nauli? Kama sio uhuni wao tu
Wapumbavu mpo wengi sana. Miaka ya 1980 na 1990, nauli ilikuwa sh 5, yani Dala, aliyeifikisha nauli hapo alipoikuta huyo bibi yako nani?Shida siyo LATRA shida ni yule bibi pale juu
Wewe ni tahiraWapumbavu mpo wengi sana. Miaka ya 1980 na 1990, nauli ilikuwa sh 5, yani Dala, aliyeifikisha nauli hapo alipoikuta huyo bibi yako nani?
Ccm ipo ndugu yangu kupitia kwenye mpira wewe ngoja siku waseme mpira marufuku halafu huone kitakachotokea na wao wana amini watanzania hawana shida kupitia mpira huo huo ndio maana mkilalamika wanawaona wazushi ebu fikiria watu wanaojazana kwa mkapa simba ikicheza au yanga umati unaojazana pale kwa mkapa halafu umuaminishe kiongozi gani wa serikali kwamba watanzania wanaishi maisha magumu hawana hela hata wewe usinge amini wata amini endapo itacheza simba au yanga kwa mkapa halafu hakuna hata mtu mmoja wa hali ya chini aliyekwenda kwa mkapa hapo ndio wata amini kweli hali ngumu lakini kwa hali hilivyo sasa hawawezi kuamini ndio maana wanapandisha vitu hovyo wakijua watanzania hawana shida hila ni watu waliozoea kulalamika na washatuzoe wanajua kabisa hawa watalalamika mwisho watanyamaza huo ndio ukweliMimi naamini kabisa CCM haipo tena nchi hii,ila Kuna Lindi linajiita CCM.
Suku zote mateso yakizidi uoga wa kifo huondoka.Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho pengine hakijawahi kutokea hapo nyuma.
WANANCHI WATAHARUKI kwasababu wamepata na mshangao,taarifa za ongezeko la nauli hazikutolewa kwa uwazi na wala hazikufafanuliwa mbele ya jamii husika,wananchi wanahisi makondakta au wamiliki wamejiamulia na sio tamko la serikali.
imefikia wakati hadi ugomvi unazuka kwenye vyombo vya usafiri na kufikishana hadi kwenye vituo vya polisi,wanaumia kuona hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya kwa kukandamizwa na kuendelea kubebeshwa mizigo mizito.sasa wanafikiria sehemu ambayo walikuwa wakienda kwa 500,sasa ni 600,ukiwa na 1000,huwezi kwenda kazini na kurudi.
Wananchi wanauliza maswali,kwamba LATRA wanapandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji pamoja na mafuta,je vipato vya wananchi vimekuwa?,je siku siku mafuta yakishuka na nauli zitashuka?
wafanyabiashara wanaonekana wananguvu sana kuliko wananchi wakawaida,ni kwamba wakisema tunapata hasara,wananchi wanyonge wanapandishiwa gharama za maisha,hana subra wafanyabiashara kama walivyo na uvumilivu wananchi wanyonge.
walipa kodi wanaumia ndani kwa ndani kwakuwa hawawezi kupaza sauti zao zikasikika,lakini ukiwauliza wanasema wamechoka sana na sasa wanasubiri muda tu,wanasubiri kile kipindi cha wabukinafaso,waniger,wamali,au hata wakenya na wanaamini kama mambo yataendelea hivi ipo siku yatatokea yale ya Singapore.
VIONGOZI WAKO KIMYA,licha ya yote hayo lakini hakuna kiongozi anaejitokeza na kuwapa faraja wananchi,sio wa upinzani wala aliopo madarakani,watawa hawajali,watu wanasema hawajali kwasababu hayawahusu,wao hawana bajeti ya 1000, dagaa, robo ya unga,mkaa wa mia tatu, wala hawapandi sogea huko, geukia mbele,shikilia bomba, hawaumii kwasbabu hayawagusi haya yanayowagusa wananchi.
viongozi wanautumia upole na uvumilivu wa wananchi kuendelea kuwaumiza,hawafikirii maisha yao,wala ustawi wa vizazi vyao,bali maslahi binafsi,
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Ona hili nalo 😒Tuna aina nyingi ya viongozi. Tutajie viongozi wanaonufaika na ongezeko la nauli!
Mkuu weka "figures" ili tuone nauli zimepanda kwa kiasi gani ili tuweze kufanya tathimini kupitia ongezeko la bei ya mafuta. Tukumbuke kuwa ijapokuwa wananchi wanaumia lakini wamiliki wa mabasi nao pia ni wawekezaji, na hutaka kuendesha biashara zao kwa faida.Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho pengine hakijawahi kutokea hapo nyuma.
WANANCHI WATAHARUKI kwasababu wamepata na mshangao,taarifa za ongezeko la nauli hazikutolewa kwa uwazi na wala hazikufafanuliwa mbele ya jamii husika,wananchi wanahisi makondakta au wamiliki wamejiamulia na sio tamko la serikali.
imefikia wakati hadi ugomvi unazuka kwenye vyombo vya usafiri na kufikishana hadi kwenye vituo vya polisi,wanaumia kuona hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya kwa kukandamizwa na kuendelea kubebeshwa mizigo mizito.sasa wanafikiria sehemu ambayo walikuwa wakienda kwa 500,sasa ni 600,ukiwa na 1000,huwezi kwenda kazini na kurudi.
Wananchi wanauliza maswali,kwamba LATRA wanapandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji pamoja na mafuta,je vipato vya wananchi vimekuwa?,je siku siku mafuta yakishuka na nauli zitashuka?
wafanyabiashara wanaonekana wananguvu sana kuliko wananchi wakawaida,ni kwamba wakisema tunapata hasara,wananchi wanyonge wanapandishiwa gharama za maisha,hana subra wafanyabiashara kama walivyo na uvumilivu wananchi wanyonge.
walipa kodi wanaumia ndani kwa ndani kwakuwa hawawezi kupaza sauti zao zikasikika,lakini ukiwauliza wanasema wamechoka sana na sasa wanasubiri muda tu,wanasubiri kile kipindi cha wabukinafaso,waniger,wamali,au hata wakenya na wanaamini kama mambo yataendelea hivi ipo siku yatatokea yale ya Singapore.
VIONGOZI WAKO KIMYA,licha ya yote hayo lakini hakuna kiongozi anaejitokeza na kuwapa faraja wananchi,sio wa upinzani wala aliopo madarakani,watawa hawajali,watu wanasema hawajali kwasababu hayawahusu,wao hawana bajeti ya 1000, dagaa, robo ya unga,mkaa wa mia tatu, wala hawapandi sogea huko, geukia mbele,shikilia bomba, hawaumii kwasbabu hayawagusi haya yanayowagusa wananchi.
viongozi wanautumia upole na uvumilivu wa wananchi kuendelea kuwaumiza,hawafikirii maisha yao,wala ustawi wa vizazi vyao,bali maslahi binafsi,
Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Fanyeni nauli za daladala ziwe 5000 kabisa au unasemajeWapumbavu mpo wengi sana. Miaka ya 1980 na 1990, nauli ilikuwa sh 5, yani Dala, aliyeifikisha nauli hapo alipoikuta huyo bibi yako nani?
Ongezea na matamasha ya fiesta wasafi watu wanajazanaCcm ipo ndugu yangu kupitia kwenye mpira wewe ngoja siku waseme mpira marufuku halafu huone kitakachotokea na wao wana amini watanzania hawana shida kupitia mpira huo huo ndio maana mkilalamika wanawaona wazushi ebu fikiria watu wanaojazana kwa mkapa simba ikicheza au yanga umati unaojazana pale kwa mkapa halafu umuaminishe kiongozi gani wa serikali kwamba watanzania wanaishi maisha magumu hawana hela hata wewe usinge amini wata amini endapo itacheza simba au yanga kwa mkapa halafu hakuna hata mtu mmoja wa hali ya chini aliyekwenda kwa mkapa hapo ndio wata amini kweli hali ngumu lakini kwa hali hilivyo sasa hawawezi kuamini ndio maana wanapandisha vitu hovyo wakijua watanzania hawana shida hila ni watu waliozoea kulalamika na washatuzoe wanajua kabisa hawa watalalamika mwisho watanyamaza huo ndio ukweli