LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

Siyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.

Pambaafu kabisa!!
Hili ndo tatizo lingine ninaloliona kwa watanzani hawajali kabisa kuhusu maisha yao
 
Imagine dar sasa hivi hakuna ruti ya 500 zote ni kuanzia 700 kwenda juu.

Yani usitegemee upande dalala uko na 600 yako ukaeleweka.

Pumbavu sana hii mijitu pale juu...
Hawana hata habari alafu

Ova
 
Back
Top Bottom