Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
wananchi mlioshirikisha ni hao akina Lucas machawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi mlioshirikisha ni hao akina Lucas machawa
Na wanamalizia kusema ,wale mazuzu tu wataishia piga kelele tu usiku watalalaWenyewe watakuwa wanacheeka na kusema ni "upepo utaondoka wenyewe tu"!
Kabisa.Huku wanasema "na hamna cha kutufanya"!Na wanamalizia kusema ,wale mazuzu tu wataishia piga kelele tu usiku watalala
Ova
Yeye wala hana waziri wa uchukuzi yupo , na bibi ndo ameenda kuongeza vijora nje ya nchiShida siyo LATRA shida ni yule bibi pale juu
Hili ndo tatizo lingine ninaloliona kwa watanzani hawajali kabisa kuhusu maisha yaoSiyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.
Pambaafu kabisa!!
"Any government is an organ of exploitation by nature."'Si tuliambiwa serikali hii ni sikivu au ni maneno tupu yale' alisikika Kada wa Chama kimoja huko Hanang.
Kwa nini unamita mama huyo ajuzaTatizo waandishi watanzania na wenyewe wamekua magoigoi hii nchi maskini ametelekezwa tangu magu amekufa mchwa wako Kila mahali mama hata Hana habari kabisa
Hips limeongezeka ukubwani na sio usichananiBibi yenu anatembea Kama anakanyaga miba. Sasa hivi mabwanyenye yanajipigia tu
Hawana hata habari alafuImagine dar sasa hivi hakuna ruti ya 500 zote ni kuanzia 700 kwenda juu.
Yani usitegemee upande dalala uko na 600 yako ukaeleweka.
Pumbavu sana hii mijitu pale juu...
Hawawafikiri watumiaji wa daladalaKabisa.Huku wanasema "na hamna cha kutufanya"!
Hata wakiongeza tena hakuna kitu mwananchi atafanya,Tanzania ukondoo ni mwingiWanainchi na wenyewe tu makondoo sana.....acha waongeze bei akili ikae sawa
Wawafikirie tena?Wakose thawabu?Hawawafikiri watumiaji wa daladala
Ova
Na yatajipigia sana maana amewachia wajisavieBibi yenu anatembea Kama anakanyaga miba. Sasa hivi mabwanyenye yanajipigia tu