LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

Hii nchi inahitaji mtu katili kuweka mambo sawa.


Wakija makatili mnawaita madikteta..
Haya sasa wapole mnasema tena hawafai.

Hamueleweki nini mnataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni mfumo KRISTO,umezalisha wasomi wengi ambao kikubwa wanachokijua ni wizi na ufisadi,tutapeleka muswada wa marekebisho ya Sheria bungeni ili tupate mandate ya ruhusa ya shoot to kill,ili tumalize Moja kwa Moja hili balaa.
 
Wagalatia hamjaanza Leo tabia ya kushauri vibaya viongozi na kuwaibia,toka enz za Nyerere nyinyi mmekuwa makonki wa tabia hiyo,no wonder hii nchi imeendelea kuwa stagnant towards development because vision and mission yenu ni kuiba tuh.
Hao viongozi wako wanaoshauliwa vibaya ndio mabwege
 
Na bado inabidi wapandishe zaidi. Ili wakome hao wananchi wa hali ya chini, maana hao ndio wapigaji wao kura wakubwa. (CCM mtaji wao ni wananchi wa hali ya chini wenye upumbavu wa kutosha) wakipewa kanga, viberiti na kofia imeisha hiyo.
 
Shida siyo LATRA shida ni yule bibi pale juu
Kipindi Cha kikwete na nauli ya Mia tatu ilidumu kwa takriban miaka mitano Hadi 2018 ndio ikaletwa 4000 Napo jiwe akabaki nayo Hadi anafarikia nauli zilikuwa Hiyo hyo tu mama amekuja akweka 500 haijakaya mwaka 700 mwkani elf 2000
 
Siyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.

Pambaafu kabisa!!
Wacha upumbavu wewe kenge! Kupandisha nauli ni taarifa ama maelewano Kati ya unayempandishia na anayepandisha???

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Aisee nauli ni kubwa bana, yaan ile balance ulokuwa unaitumia njian sasa imerud kwenye nauli. Tutashinda njaa safarini 🥲
 
Nilichoshangazwa na LATRA, hali ilikuwa imetulia na wametoka kupandisha nauli mwaka jana.. kwanini wakakaa na kuleta sintofahamu ambayo haikuwepo! Gharama gani za uendeshaji zilizoongezeka ambazo mwaka jana hawakuziweka kwenye consideration wakati wanapandisha nauli mara ya kwanza.

Wafanyabiashara wanataka faida kubwa kuelekea wasafiri wa mwisho wa mwaka wakalobby Latra..
Tatizo hapa ni mama yenu nanhakuna mtu mwingine
 
Viongozi hawawezi kujali maisha ya watu wa chini Mkuu.

ACHA WANANCHI WAPITIE MAGUMU ILI NEXT TIME WAJUE CHA KUFANYA KWENYE MASANDUKU YA KURA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hawana cha kufanya huko kwenye masanduku ya kura
 
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopi

Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
LATRA ni kibenten wa wamiliki wa mabasi.

Wakati wa SUMATRA nauli zilikuwa zinabadilika baada ya miaka mitano mpaka saba ila LATRA wakitengewa fungu wanakaa kikao wanapandisha tu.

Unapandisha nauli kwa 25% ya iliyokuwepo awali huu ni ukichaa siyo bure.

Hii taasisi siyo ya serikali ni janga kubwa kwa wananchi
 
Wacha upumbavu wewe kenge! Kupandisha nauli ni taarifa ama maelewano Kati ya unayempandishia na anayepandisha???

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kuna viongozi wa chama cha abiria Tanzania walituwakilisha. Na kama hukuridhika ungetoa hayo makalio yako siku walipotoa taarifa ya ongezeko la nauli na siyo kusubiri wakati wa utekelezaji. Pambaafu!
 
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita,huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo,kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango

Raia wanawakumbusha watawa kama hawawezi kuwasaidia basi wasiendelee kuwaumiza kwasababu wamechoka.
Samia na CCM yake wapo bize, kutulembulia macho, na kupongezana ujinga tu,
Eti "alikuwa kwenye kazi maalum" Mtu alienda kwenye kwzi maalum, anaambiwa karibu nyumbani! Kwani alikuwa ameenda moja kwa moja? Kuna nchi ilimuomba ikawasaidie?
By the way, hatuulizii uwepo wa Makamu, kwa vipe tunampemda! Tunawachukia sana tu!
Tunatamani ma CCM yote yafe
 
Back
Top Bottom