Una tereza tuuu mama dWapo wachache sana wasiopenda maendeleo na Kanuni yao ni kupinga kila kitu
Wala sina nongwa mimi 💣💃💥
Ni app gani inatakiwa kutumika Kupata hiyo tiketi kwa mujibu wa LATRA?!Dar lux wanafanya hivi
Kwa hiyo unaililia Tanzania kwa sababu gani? Mbona huo ni utaratibu mzuri?
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
TRA na wizara ya fedha wanazingua,ilitakiwa wapungeze Kodi kidogo % alafu malipo yeyote ya zaidi 20k tulipe kielekrotoniki,ili Mambo ya kutotoa risiti yafe kibudu.Tena tumechelewa ije sasa
Watakuwa wehu,yaaani hii itawasadia wao/wenye mabasi kunufaika San kwa kudhibiti nauli na mapato.... Hivi unajua juzi tu Xmas abiria walikuwa wanakatiwa tiketi da-mwza Hadi 65k Ila mwenye gar/basi anafungiwa hesabu ya 30/35.Tahadhari yangu imelenga migomo ya wenye mabasi
Atafundishwa polepole atajua, Mimi napenda tunavyosogea kidigital hata elimu ya watu wazima irudi, Kila mtu atajua kusoma ni kupata elimu ya kuelimika na siyo kupoteza muda na kwenda kupata joto madawati.Sasa mtu wa buchosa ndani ndani akitaka ticket na kwenye mambo ya kutumia mtandao yuko chini inakuwaje hapo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kama kweli wanataka Mapato na Kuimarisha Udhibiti kwanini Tamko lao limetoka leo wakati Sikukuu zote Muhimu Kikalenda zimeshamalizika?
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
Unapomuongezea gharama mfanyabiashara, mfanyabiashara lazima aongeze bei au gharama kwa mteja ili asipate hasara. Kwa hiyo hapa tegemea bei za tiketi za mabasi kupanda juu. Sasa wanaopanda mabasi ni watu wa kipato gani? Watapunguza safari? Kama ni wafanyabiashara nao lazima na wao waongeze bei za bidhaa zao ili wasipate hasara. Mfano kama mtu analeta maindi kwa mabasi ya abiria lazima ayaongeze bei.
Hahahaaa hii techology unayo ipigia kelele huwa na double standard maana kwenye mambo ya msingi sana na yenye tija huwa siwaoni mkisema twende na technology mf. Kupiga kura, kabadili katiba iendane na usasa nk huko hakuna technology.Kwani kutumia tket za mtandao kuna changamoto gani?Heb Tuanzie hapo.
Sio kua tunalalamika tu bila facts...Dunia inakwenda kasi sana, hatuwezi kuendelea kutumia makaratasi wakati teknolojia inaruhusu...Tulianza na M-pesa watu wakalalamika bt now tushazoea, Uber nayo tushaizoea...nini shida kwenye ticket za mabasi?
We must embrace the technology and not revolt against it otherwise tutakua tunajichelewesha tu coz piga ua huko ndipo tunapoelekea tutake tusitake, technology will drag you with it hata km huitaki. So lets be optimistic ktk hii issue km kunachangamoto zitatuliwe huku tunaendelea kuitumia kuliko kujichelewesha tukisubiri changamoto zote zitatuliwe.
Hizo system zao za mitandao zimeunganishwa na TRA au ni namna ya kuwezesha wateja wao wapate tiketi tu ?Tahmeed pia
Kisa cha Tume ya uchaguzi kutokwenda na " kasi kama hii " ya kukusanya matokeo ni nini ? mbona mabasi tu ?
Maskini serikali ya makanikia imeishiwa kiki , siku hizi kiki zinatafutwa mpaka viongozi kuchapa watu viboko , Sasa mara Latra , Mara Siro kaitisha mkutano na waandishi wa habari usio na kichwa wala miguu , mtakaa sana kiki zimekuwa adimu wapinzani hawapo .
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
akikujibu nistueHahahaaa hii techology unayo ipigia kelele huwa na double standard maana kwenye mambo ya msingi sana na yenye tija huwa siwaoni mkisema twende na technology mf. Kupiga kura, kabadili katiba iendane na usasa nk huko hakuna technology.