LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .

Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.

Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .

Nakulilia Tanzania .
Kwa hiyo unaililia Tanzania kwa sababu gani? Mbona huo ni utaratibu mzuri?
 
Tahadhari yangu imelenga migomo ya wenye mabasi
Watakuwa wehu,yaaani hii itawasadia wao/wenye mabasi kunufaika San kwa kudhibiti nauli na mapato.... Hivi unajua juzi tu Xmas abiria walikuwa wanakatiwa tiketi da-mwza Hadi 65k Ila mwenye gar/basi anafungiwa hesabu ya 30/35.

Sawa Ni tulipe kwa kielekrotoniki [emoji3581], japo waanze na Safari za mbali au zile nauli Ni 15k+
 
Sasa mtu wa buchosa ndani ndani akitaka ticket na kwenye mambo ya kutumia mtandao yuko chini inakuwaje hapo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Atafundishwa polepole atajua, Mimi napenda tunavyosogea kidigital hata elimu ya watu wazima irudi, Kila mtu atajua kusoma ni kupata elimu ya kuelimika na siyo kupoteza muda na kwenda kupata joto madawati.
 
Unapomuongezea gharama mfanyabiashara, mfanyabiashara lazima aongeze bei au gharama kwa mteja ili asipate hasara. Kwa hiyo hapa tegemea bei za tiketi za mabasi kupanda juu. Sasa wanaopanda mabasi ni watu wa kipato gani? Watapunguza safari? Kama ni wafanyabiashara nao lazima na wao waongeze bei za bidhaa zao ili wasipate hasara. Mfano kama mtu analeta maindi kwa mabasi ya abiria lazima ayaongeze bei.
 
Watanzania wagumu kuelewa tulikotoka na tunakoelekea ni wapi ❗

1609789671580.png

Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .

Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.

Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .

Nakulilia Tanzania .
Kama kweli wanataka Mapato na Kuimarisha Udhibiti kwanini Tamko lao limetoka leo wakati Sikukuu zote Muhimu Kikalenda zimeshamalizika?
 
Wangeanza na pilot project kwanza kwa hawa abiria wa kilimanjaro wa hii december kwa kuanza kutoa matangazo kuanzia october sasa wao wanakurupuka ghafla huku mitaani kuna watu wenye akili mingi sana
 
Unapomuongezea gharama mfanyabiashara, mfanyabiashara lazima aongeze bei au gharama kwa mteja ili asipate hasara. Kwa hiyo hapa tegemea bei za tiketi za mabasi kupanda juu. Sasa wanaopanda mabasi ni watu wa kipato gani? Watapunguza safari? Kama ni wafanyabiashara nao lazima na wao waongeze bei za bidhaa zao ili wasipate hasara. Mfano kama mtu analeta maindi kwa mabasi ya abiria lazima ayaongeze bei.

Heeee jamani nyie [emoji28][emoji28]
 
Kwani kutumia tket za mtandao kuna changamoto gani?Heb Tuanzie hapo.

Sio kua tunalalamika tu bila facts...Dunia inakwenda kasi sana, hatuwezi kuendelea kutumia makaratasi wakati teknolojia inaruhusu...Tulianza na M-pesa watu wakalalamika bt now tushazoea, Uber nayo tushaizoea...nini shida kwenye ticket za mabasi?

We must embrace the technology and not revolt against it otherwise tutakua tunajichelewesha tu coz piga ua huko ndipo tunapoelekea tutake tusitake, technology will drag you with it hata km huitaki. So lets be optimistic ktk hii issue km kunachangamoto zitatuliwe huku tunaendelea kuitumia kuliko kujichelewesha tukisubiri changamoto zote zitatuliwe.
Hahahaaa hii techology unayo ipigia kelele huwa na double standard maana kwenye mambo ya msingi sana na yenye tija huwa siwaoni mkisema twende na technology mf. Kupiga kura, kabadili katiba iendane na usasa nk huko hakuna technology.
 
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .

Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.

Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .

Nakulilia Tanzania .
Maskini serikali ya makanikia imeishiwa kiki , siku hizi kiki zinatafutwa mpaka viongozi kuchapa watu viboko , Sasa mara Latra , Mara Siro kaitisha mkutano na waandishi wa habari usio na kichwa wala miguu , mtakaa sana kiki zimekuwa adimu wapinzani hawapo .
 
Hahahaaa hii techology unayo ipigia kelele huwa na double standard maana kwenye mambo ya msingi sana na yenye tija huwa siwaoni mkisema twende na technology mf. Kupiga kura, kabadili katiba iendane na usasa nk huko hakuna technology.
akikujibu nistue
 
Back
Top Bottom