LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

Asante kwa taarifa na ushauri.

Naona serikali ikimalizana na mabasi itazigeukia bajaji, toyo na bodaboda.
 
dunia iko kwenye digital ticket hata za mechi zinauzzwa online sembuse za basi
 
Kama watu sasa wanalipa bili za maji na umeme kwa simu, watashindwa nauli, acha wamkate middle man!
 
Hahahaaa hii techology unayo ipigia kelele huwa na double standard maana kwenye mambo ya msingi sana na yenye tija huwa siwaoni mkisema twende na technology mf. Kupiga kura, kabadili katiba iendane na usasa nk huko hakuna technology.
Technology inaihushanisha vp na katiba?Unataka katiba iwe digitalized au unatakaje?km kupiga kura si umeona kuna unadikishaji wa kutumia alama za vidole?huoni kua tumepiga hatua ktk eneo hilo?how further unataka twende ktk issue ya kupiga kura?tatzo la watanzania kila kitu mnaingiza siasa, now days hatuwezi kuchambua hoja kwa uhalisia bila kuingiza mambo yenu ya siasa na uvyama vyama, ht km issue haihusiani na siasa you will manage to find an angle ilimradi tu mchomekee siasa zenu, very sad indeed.
 
Sasa wewe unatetea ujima, kwani nchi za wenzetu walivyo weka hiyo systemn ni wajinga ?? Au nikuulize nini ilikuwa dhana ya walio develop hiyo system za kununua online tickets etc
 
Sasa wewe unatetea ujima, kwani nchi za wenzetu walivyo weka hiyo systemn ni wajinga ?? Au nikuulize nini ilikuwa dhana ya walio develop hiyo system za kununua online tickets etc
nisome tena
 
Haya mambo ni mazuri kwa sababu yanaongeza wigo wa ukusanyaji kodi lakini Kasoro zake ni kama hivi:
1.Ushirikishwaji wa stakeholders na kutoa Elimu ya kutosha kwa wote-Mlaji na agent wa kodi.
2.Target au kiasi kinachotegemewa kukusanywa kutoka kwenye mfumo huo na Tija ya huo mfumo iwekwe wazi.Mfano kwenye mafuta tunajua kuna pesa Ya REA so watu wako Happy kulipa kwa sababu wanajua tija zilizoko.
3.Pilot,TRIALS.
Mfumo mpya upate muda wa majaribio nk nk
 
Sisi wapiga debe tuanze kujifunza kukaba watu sasa
 
Ambayo hiyo kod inafanyia nini?
Kodi inajenga, kurekebisha na kupanua Barabara, kodi inajenga hospitali, kodi inanunua madawa, kodi inajenga madaraja, kodi inalipa mishahara ya madaktari, walimu, na watumishi mbalimbali wa serikali, kodi inajenga na kupanua stendi n. k
 
Hii issue ipo toka magufuli kaingia madarakani sema hao.wadau ndio waliokuwa wanaichelewesha kwa kutaka mabadiliko kadhaa kwenye mfumo. Kiufupi wameshirikishwa kila hatua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…