Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KuzimuUnawa-compare na watawala wa wapi?
Hao watu lukuki walikuwa wakatisha tikiti?
TAno tena.View attachment 1667700
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
Wakati Uber inakuja bongo ni Elimu gani ya Kutosha tulipewa hasa sisi abiria?or wakati Mpesa inaingia kwenye market ni Elimu gani ilitolewa?issue inapokuaga ni ya serikali ndo hua tunalilia Elimu ya kutosha..Elimu ipi sasa tunataka itolewe?Mbona ukienda supermarket ukalipa ukapewa risiti hua hatuombi Elimu ya ile system ya kutoa risiti?Heb tuwe sereous aisee
Umefafanua vyema[emoji625]SOMENI
Akizungumza mara baada ya uzinduzi huo Mhandisi Kamwelwe alisema mfumo wa tiketi mtandao utaondoa upotevu wa mapato kwa wasafirishaji ambayo mara nyingi hupotelea katika mikono ya wapiga debe.
“Utawawezesha wasafirishaji kukopesheka kwa urahisi kwani taarifa za miamala yao zitaakisi moja kwa moja katika mabenki,pia utasaidia kuongezeka kwa uwekezaji katika sekta kutokana na kuongezeka kwa mapato”alisema.
Mhandisi Kamwelwe alisema kwa upande wa abiria matumizi ya mtandao katika kununua tiketi utawaondolea abiria mlolongo wa kufunga safari kwenda vituo vya mabasi siku moja kabla ya safari waajili ya kukata tiketi.
“Pia utaondoa kero za abiria kubughudhiwa kwenye vituo vya mabasi na kufanya usafiri huu kuwa na heshima zaidi,utakomesha vitendo vya upandaji holela wa nauli hususan kipindi cha mwisho wa mwaka “alisema.
Alisema kwa upande wa Serikali mfumo huo utawezesha kupatikani kwa taarifa muhimu zenye kusaidia Serikali kufikia maamuzi sahihi kwakuwa ndio kitovu cha usafirishaji nchini.
SijafafanuaUmefafanua vyema
Nimekata ila namba ya kukatia ni siri yangu na LATRA.View attachment 1667700
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
Mkuu umeona mbali sana!!Tuki rely kwenye huu mfumo, tukiingia kwenye vipindi vya uchaguzi wasije wakatuzimia tena mitandao sijui tutalipaje hizo tiketi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Cheki kwny mtandao wa LATRA.Daah jambo zuri sanaa..
Hivi naombeni kujua nauli kutoa dar adi nzega Bei gani?
Na bus gani zuri?
[emoji23][emoji23]Shughuli Imekwisha
Wakafungie Maandazi