Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Mshaanza kutafuta mchawi nani! Kweli seduce me haijawaacha WCB salama.hahaha
 
sijui kusearch,uliileta kama post,sio topic,yes,nakukumbuka sana ulisema maneno hayo hayo ya muimba qaswida,embu kiukweli embu tuambie,una uwezo wa kuimba wa kumfikia lava lava? chuki kwa kijana mwenzio inatoka wapi?
Bora tuachane ni nyimbo ambayo huwa sichoki kuisikiliza.
 
Naona mzimu wa Seduce Me bado unawaandama..mtasema yote huu mwaka!
 
... Kuna baadhi ya vitu tuviachie vivulana vya Dar..

From the first ...i met u here...
Uko ki dem dem sana...

...uzi gani tena huu.... !??
 
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Pale mwanaume anapomchukia mwanaume mwenzake. Lavalava were piga kazi. Unakipaji sana
 
To be honest the guy is smart katika kutunga, kuimba na hata ubora wa mashairi
zaidi, watu wengine tunapenda nyimbo za dizaini ya qaswida, so ni strategy ya kuteka fanbase tofauti tofauti
 
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.

Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.

Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

View attachment 582949
Kaka sio vizuri kuharibu carrier za watu kwa kupandikiza chuki binafsi,lava lava ndo anaanza jenga ngome sasa mpk akina kiba wamemuelewa.sababu ashajipatia mashabiki acha apate ugali wake kwa urefu wa kamba yake.kama hawezi mziki utamselect out. Mwache ajipatie ugali kwa kidogo alicho nacho.ila ni mtazamo wako tu lakini umewakilisha kichuki
 
Kumbe damu ya nguo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
bora hata Qboy msafi si unaona ngoma zake zilivyotulia kuliko huyu jamaa.

Angalia ngoma kama Mugacherere ilivyotulia na alivyoitendea haki.
Hujui mziki mkuu kama unaweza kuiona mugachere iko juu zaidi ya bora tuachane.Sio kila muziki utafaa masikio yako na sio lazika kila mtu aimbe nyimbo za kucheza,jitahidi ulipe sikio lako exposure kusikiliza aina/ladha tafautitafauti za muziki.Hiyo nyimbo ya bwana mdogo wanaielewa yalowakuta yaloimbwa humo ndani kama huilewi pole yako.
Tafuta nyimbo yake ya zamani aliyomshirikisha young dee uisikilize.
 
Back
Top Bottom