Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Minding personal business is good for your health.
Wabongo akili zetu zimekaa kinafiki sana mkuu. Huyo huyo akikaa na kula bata akifilisika watamsema kwamba aliendekeza starehe bila kujiongezea kipato. Akijitahidi kujiongezea kipato watadai hiyo kazi haimfai. Ugumu au urahisi wa maisha anaujua muhusika were wa nje unaweza kudhani yuko njema kumbe choka mbaya
 
Wabong ni wanafiki wewe si umeona hata Mange walimsapoti mwisho wa siku watu wakasaliti. hahahahaha this is Bongo man
 
sidhani kama hii story inaukweli. mikataba ya wcb wasafi inawabana sana wasanii wao kujichanganya mtaani utakuwa umemfananisha
 
Tena mwandishi wa uzi kaandika utafikiri hapo wcb ni BOT dadeq kumbe njaa tu maisha ya kwenye tv na instagram yanawadanganya

mwanaume hachagui kazi

Maisha ya Instagram na "behind the scene"...ni yakubuni zaidi tena nje ya uhalisia wa halisi

ndio inasababisha hadi wasomi na wahitimu wa vyuo...kuogopa kufanya kazi halali tofauti na taaluma zao

Salute kwako lavalava
 
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?

Wacha ushamba bas
 
Huyo jamaa unayemuita msanii mkubwa anaitwa lava what??​
 
Wabongo akili zetu zimekaa kinafiki sana mkuu. Huyo huyo akikaa na kula bata akifilisika watamsema kwamba aliendekeza starehe bila kujiongezea kipato. Akijitahidi kujiongezea kipato watadai hiyo kazi haimfai. Ugumu au urahisi wa maisha anaujua muhusika were wa nje unaweza kudhani yuko njema kumbe choka mbaya
Tuna safar ndefu
 
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?
Nani kakwambia kuwa huyu dogo anavuta million kadhaa per show?
 
mwanaume hachagui kazi

Maisha ya Instagram na "behind the scene"...ni yakubuni zaidi tena nje ya uhalisia wa halisi

ndio inasababisha hadi wasomi na wahitimu wa vyuo...kuogopa kufanya kazi halali tofauti na taaluma zao

Salute kwako lavalava
Hakika mkuu
 
Siamini wewe ulieweka hii post kama ni mwanaume mana sifa moja ya mwanaume ni kutafuta na sio kusema hii kazi ni kwa ajili ya mtu fulani. Kuna clip niliona somewhere watoto wa TI wanafanya biashara wakiwa home and that shows hata kama baba yuko financially well watoto lazima mfunguke akili.

Mkuu jichunguze kwa makini inawezekana ukawa Bidada
 
Tatizo Madale wanapenda kujifanya wana hela kuwa washawasha tu
 
Hapo mawazo yako ndipo yalipo kufikisha? Acha watu wapige mitonyo. Tafuta pesa wakati muda unaruhusu. Wimbo ni pesa...pesa...pesa...pesa...pesa..........Na muunga mkono kwa asilimia zote.
 
Back
Top Bottom