Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?
Unataka ashinde pale WCB mchana kutwa akilamba tu midomo kama boss wao?
 
halafu huyu wala sio msanii mkubwa mnamkuza tu
 
Back
Top Bottom