Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Ngoja niwahi siti Ila mwanaume hachagui kazi
Hivi hii kauli mnaihalalisha vipi? Kauli nyingne zinadumaza uwezo wa kufikiri,
Nasema hivi sio mwanaume tu,ila mtu yeyote anao Uhuru wa kuchagua kazi.

Swali chonganishi,nikikuajiri kunitongozea kwa bi mkubwa ako halafu nikulipe,utafanya kisa nayo kazi?

Mods nimeongea kum-challenge kijana but both is so serious walah
 
Bun b ni mwalimu kazi yake nyingine yeye mbona husemi au kwakuwa ni wa marekani
 
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?
Ustaa hauliwi.
Mwache dogo apige kazi, apate kipato chake halali.

Mbali na kungiza pesa, anachokifanya kina faida kubwa sana zitakazomfaa maishani.

1. Inamfanya awe mnyenyekevu na mwenye kukubali kuishi bila shida katika hali zote za maisha bila majivuno.

2. Inamfundisha 'customer care' itakayomfaa katika maisha yake yote ya ujasiria mali na uwekezaji.

3. Anajifunza jinsi ya kuendesha biashara na ujasiria mali. Kuna mastaa wengi walipata pesa nyingi kisha wakalost vibaya ukikutana nao unabaki unashangaa k.f. Mr. Nice, Mwisho Mwampamba n.k.

4. Akiitumia vizuri inaweza kumpromote sana katika mziki wake na biashara.

5. Itamuepusha kunyanyaswa na kuwa mtumwa wa lebo.
 
Hata biblia inasema pesa ndio jawabu la kila kitu,hivyo kivyovyote vile pesa lazma itafute... Hata kwa kuiba na kukaba.
Hizo njia zako za kufuta pesa nazikataa katika Jina la Yesu.
Tafuta pesa halali.
 
Hivi hii kauli mnaihalalisha vipi? Kauli nyingne zinadumaza uwezo wa kufikiri,
Nasema hivi sio mwanaume tu,ila mtu yeyote anao Uhuru wa kuchagua kazi.

Swali chonganishi,nikikuajiri kunitongozea kwa bi mkubwa ako halafu nikulipe,utafanya kisa nayo kazi?

Mods nimeongea kum-challenge kijana but both is so serious walah
Tofautisha kati ya kazi na ushenzi.
Toa ubazazi wako hapa.
 
Mwanaume n Ku hustle
Na co kulala kutegemea job
Moja
 
Hivi hii kauli mnaihalalisha vipi? Kauli nyingne zinadumaza uwezo wa kufikiri,
Nasema hivi sio mwanaume tu,ila mtu yeyote anao Uhuru wa kuchagua kazi.

Swali chonganishi,nikikuajiri kunitongozea kwa bi mkubwa ako

halafu nikulipe,utafanya kisa nayo kazi?

Mods nimeongea kum-challenge kijana but both is so serious walah

Aastakaflah

We ulitaka afanye kazi ya kuzibua vyoo ama? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?
Una akili fupi kabisa
 
Hebu mwache kijana atafute pesa kwa kiingilio kipi kikubwa unachotoa ukienda kuangalia show mpaka umuwekee limit kiasi hicho.

Acha atafute pesa.
 
Labda tatizo liwe ni kiusalama, ila kama ni kufafuta, mbona safi tu..
wenyewe siku hizi wanapromote wimbo wao mpya POCHI NENE
 
Back
Top Bottom