Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Lavalava umeshakuwa msanii mkubwa, hebu acha kuendesha Uber

Iko hv WCB inazamini baazi ya wasanii wao mpaka diamond mwenyewe anaendesha UBER sembuse chawa wake.
Nisehemu ya uzamini wao kwao ni lazima waheshimu vigezo n mashaliti ya mkataba wao na UBER mkuu.
Mwezi ujao ni zamu ya First Lady wao ikiwa zari lako tena utakutana nae pia tarehe ikipangwa tu kiongozi.
 
Ndo tatizo la Watanzania wengi. Yaani mtu anachakarika kutafuta mtonyo wengine tunaponda? Sisi tumezoea ukishapata ka kazi kanakokulipa laki 8 kila mwezi, baaasi hata daladala hupandi tena, kula unahamia hotelini, mkopo wa gari kuuubwa etc etc. Unaishia kuwa mtu wa paycheck to paycheck kila mwezi. Tubadilike.
 
We unasema Lavalava, Diamond na Babu Tale wenyewe wanaendesha Uber.
 
Tena mwandishi wa uzi kaandika utafikiri hapo wcb ni BOT dadeq kumbe njaa tu maisha ya kwenye tv na instagram yanawadanganya
Hili watu wengi hawalijui. Wanadhani wcb pana utajiri. Wamesahau kuwa ni show off tu za kwenye mitandao na matv. Game ya bongo ni ngumu lazima ujiongeze
 
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4 waachieni wakina Abdu Kiba.
Juzi nilikuwa natoka Posta naelekea external nikaita UBER laulah nikashituka kuja dereva ni mtu ambaye namfahamu,alikuwa Lavalava wa WCB.
Diamond sijui hili unalijua au ni njia fulani ya kuongezea mapato hapo lebo.
Mwanaume kujituma lkn wakuu ni sawa kwa msanii mkubwa kama huyu wa WCB kupiga side hustle ?
Mawazo ya kimasikini haya
 
Umaarufu wako usiwe kikwazo ktk kuongeza kipato chako...Mwache apige kazi
 
Hili watu wengi hawalijui. Wanadhani wcb pana utajiri. Wamesahau kuwa ni show off tu za kwenye mitandao na matv. Game ya bongo ni ngumu lazima ujiongeze
Nikweli mkuu wadau hawalitambui hilo yani wale jamaa wanatumika tu na wadau walio nyuma ya pazia alafu sisi tunaona mafanikio ni yawasanii kumbe wanatafutia wadau vya.

Ndio watu walikua wanaambiwa Majuto ana utajiri mkubwa sasa wameona kakosa pesa za matibabu eti wanashtuka... Hahah
 
Lavalava msanii mkubwa??

Bora aendeshe uber kuliko kuwa punda/kontena
 
Watu buana!!!emu muache mwenzio apige hela.Akae bure ili aolewe au?Mwanaume anasifiwa kazi bana
 
Kuna namna fulani msanii mkubwa unaweza fany biashara nyingine bila kuathiri brand yako huyo bosi wake mwenywe anauza karanga lakini huwezi kumuona mtaani akizunguka anauza msanii atakiwi kuonekana kwa kila mtu sababu watu watakuchukulia kawaida ata ukiandaa show tayari watu washakuzoea
 
Back
Top Bottom