Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Easy. Quote kilicho kukera.
 
Katika wajinga wewe si ni babalao?

Wewe uwe na tafsiri bora kuliko ya mwandishi? Wewe hiyo si ni incurable psychiatric case? 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣Unazidi kujiaibisha, mimi nimetoa tafsiri gani?? Mimi nimekiuliza hicho kicheko unakitafiri nini?? Wewe ukajibu mwandishi ameshatafsiri. Nikakupa hongera kwa hilo.
Kinachonisikitisha umeshindwa kutumia akili yako ipasavyo.
 
Waliijua hotuba yake? Kwani wao ni mizuka? Zaidi sana mchina hadi waalikwa waliokuwapo wakiwamo waandishi walimcheka tena Kwa kumzoda.
Kwahiyo kuwepo kwa mchina ndio kuna justify hoja yako. Kwanini unashindwa kutumia akili yako ipasavyo. Sio kila mchina ni mchina
 
Mkuu Ungejikita kwenye udaku wa kina Feitoto, ugali kwa sukari, mambo serious kama haya achana nayo

Huko si ndiko kwenu? Kwani umekujua he vile? Mnaokutana huko kwani hamfahamiani?
 
Hayo ya kwako bako nayo tu humo Kwa mtogore. Tuache kuwasikiliza BBC waliokuwa kwenye tukio tukisikilize mbechile wewe? TBC tu hatuna habari naye uje kuwa wewe jombi? Kwa kutuona je vile?
Toka lini BBC wakaiongelea vizuri Russia??
 
🀣🀣🀣Unazidi kujiaibisha, mimi nimetoa tafsiri gani?? Mimi nimekiuliza hicho kicheko unakitafiri nini?? Wewe ukajibu mwandishi ameshatafsiri. Nikakupa hongera kwa hilo.
Kinachonisikitisha umeshindwa kutumia akili yako ipasavyo.

Unatejiaibisha mbona ni wewe? Nyani hapni kundule siyo?
 
Una IQ ya kuku wewe, unaamini hii vita imepikwa na marekani? Kwa nini sasa wasiwapige Marekani? Unaona sasa wanvyopigwa? Kuzima vota wanashindwa na wanazidi kufa
 
Ila mwenye kuelewa ni wewe uliyeegamia upande wako? Zingatia mada ni capture ya media iliyoko kwenye eneo la tukio kwenye video na maandishi.

Unadhani utatokea na maneno matupu hapa kumweleza nani nini?

Wacha maneno weka capture ulizo nazo hapa. Kama hauna, si hata ungenyamaza tu mjomba?
 
Ngojea uone Putin Sijui atahamia wapi, siyo muda mrefu!
 
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!

Liambie hili lidada pwaaa
 
🀣🀣🀣Unazidi kujiaibisha, mimi nimetoa tafsiri gani?? Mimi nimekiuliza hicho kicheko unakitafiri nini?? Wewe ukajibu mwandishi ameshatafsiri. Nikakupa hongera kwa hilo.
Kinachonisikitisha umeshindwa kutumia akili yako ipasavyo.

Unayejiaibisha ni wewe kama nyani asiyeona kundule tu.

Wapi umeona nimekwambia una tafsiri? Unajua tofauti ya swali na statement?

Nisiache kukupa hongera Kwa kushindwa kutumia akili.

Angalizo: mliambiwa mtoke kujibu hoja si kuja na viroja.
 
Serikali ya Urusi inajua imefanya blunder kiasi cha kuchukiza baadhi ya warusi hasa wasiopenda serikali ya kremlin hivyo inapambana kuiaminisha Dunia kua inaonewa.

Wakati ukweli ni kuwa hakukua na sababu ya maana ya vita hivi.Kama issue ni NATO kuiteka Ukraine kunaifanya Urusi kuifuata NATO kwa kuwa kusini Maghabiri Kuna Romania NATO member akitenganishwa na Moldova,Magharibi Kuna Poland NATO member akitenganishwa na Ukraine na kusini Kuna Georgia hasimu wa Urusi baada ya uvamizi wa 2008.
 
Ila eti kuna warusi koko waliyoielewa Kremlin kuliko Kremlin yenyewe 🀣🀣
 
haha brazaj umeamua kuniandama sasa

Unaleta mjadala halafu hutaki kukubali maoni πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚

Nimekuwa busy sana mkuu. Sasa ndiyo nikapata kamuda ka kugawa dozi. Kumbe mtu ukipotea kuna mbuzi au hata kuku tokea Buza zinaweza kujiaminiasha zimeshinda. 🀣🀣
 
Nimekuwa busy sana mkuu. Sasa ndiyo nikapata kamuda ka kugawa dozi. Kumbe mtu ukipotea kuna mbuzi au hata kuku tokea Buza zinaweza kujiaminiasha zimeshinda. 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe umejua kuwa wewe ni mbuzi wa buza
 
Wahindi wamemcheka Lavrov maana hawakutegemea kama ni commedian mzuri namna hiyo.

Zelenski entered into politics as comedian and turned to be a strong political person while Larov started as politician but has now turned into comedian [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…