Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hii kupandisha ada ni kufidia namba ya wanafunzi watakaopungua baada ya mchujo?!Ufumbuzi ulipatikana, moja ni kuchuja wanafunzi wanaoingia Law School.
Kwahio kama sio lazima kusoma sheria ndio ada ipandishwe kihohela?,Je umewafikiria vijana ambao tayari wamesoma sheria na wengine wako chuoni na wote wanategemea kufanya hio mitihani,unapopandisha ada maradufu unalenga nini?Sasa kwani lazima usome sheria someni hata Mechanics au logistics mbn zinapesa nyingi kuliko hata iyo sheria...
Profession zote zina certification boards ambazo lazima ufanye mitihani kuwa certifiedKwa nini kusiwe na chambers za watu binafsi na taasisi za sheria za umma na serikali ambako wahitimu wa sheria wawe wanaenda kupata mafunzo ya kuwa mawakili kama internship kwa mwaka mmoja, kama ilivyo kwa madaktari? Yaani hii ni sawa na mtu ahitimu degree ya udaktari miaka mitano, halafu alipe ada nyingine milioni tatu ya kwenda kusomea upya namna ya ku-practice udaktari kwenye "Doctor School" sasa ile miaka mitano alikuwa anasomea nini? makida makida, au? Haya mambo ya ukiritimba kwenye taaluma yalishapitwa na wakati, umebaki ulimbukeni tu...
TLS-Tanzania Law Society
Mitihani hamna anaeikataa, ni muhimu sana katika ku set standard, kusingekuwa na tatizo kama baada ya mtu kumaliza degree ya kwanza then anafanya internship hata mwaka then anafanya mtihani Ili awe certified.Profession zote zina certification boards ambazo lazima ufanye mitihani kuwa certified
Unajua kwa nini ? kila chuo hutoa degree ok fine lakini kujua mhitimu huyo yuko vizuri kwa level hiyo ili asingie ku practice akiwa hovyo sokoni ndio unakutana na mitihani mingine hiyo ukipenda waweza national examination ile ya degree ulipata ilikuwa local examination ya chuo husika tu
Chuo kikuu mwaweza kuwa mlikuwa mnagawiana tu degree kivumbi kitakuja kuonekana kwenye mitihani ya bodi husika au hiyo law school ambayo hupima hao wasoma sheria kwa mitihani ya kitaifa ya law school
Kenya law School funga kaziApplication fees. 20,000/=
Admission fees 20,000/=
Registration fees 20,000/=
Identity card 20,000/=
[emoji81][emoji81][emoji81] hii nchi ngumu sana
Tanzania iko cheap kuliko KenyaApplication fees. 20,000/=
Admission fees 20,000/=
Registration fees 20,000/=
Identity card 20,000/=
[emoji81][emoji81][emoji81] hii nchi ngumu sana
dah, Mungu awasaidie watoto wa maskini nchini kwetu, hiyo ada mimi ndio nalipia mtoto wangu wa chekechea, namshukuru Mungu kwa hili. nadhani kwa vyuo hivyo hasa vinavyolazimisha watu kusoma disploma ya profession kama (CPA na law school), wazingatie mahitaji ya watoto wa vijijini, hawana uwezo kulipa hiyo hela na hadi kufika hapo ni muujiza. na pale law school bado hujasumbuka na ufaulu, wanabana sana, bora sisi miaka yetu tulikuwa tunaenda bar exam haihitaji ada. pale wanabana sana na kuna tuvijana hatujui kitu ila tunanyanyasa sana watu. kwisakwisa, kita na wengine, tukikutana nao wana uelewa mdogo sana wa practice ila wanawanana sana watoto.Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja.
Maswali ya kujiuliza;
~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni nini?
~ Je LST inatoa huduma au inafanya biashara?
~ Je, watoto wa maskini ambao tayari wameanza kusoma sheria watumudu kiwango hiki, ukizingatia kazi nyingi za kisheria ili mtu aweze kuzifanya lazima awe anatambulika kama Wakili?
Je, LST walichukia kukosolewa na hivyo kupandisha gharama ili kuwakomoa wananchi?
Mwisho
Kwa sisi ambao bado hatujapata fedha za kutosha, usimshauri mwanao kusoma sheria, ni kozi fulani inahitaji uwe unajiweza kiuchumi.
View attachment 2428065View attachment 2428066