chukua hiyo hoja mahususi mezani katika ujumla wake, muungwana amefanya mistake ya kiwango kibaya zaidi katika historia ya kisiasa gentleman,Sie wana CDM hatuna kinyongo naye, kama nyie maFISIEM mna nyongo naye hayo ya kwenu!
Hichi chama kwa bahati mbaya kimejitekea watu wenye chuki tu na kushikwa akili ambao hawana chochote zaid kwenda na upepo mana kikubwa wanachopenda na huu mchezo tu hawajali kuhusu ukwl wala kuangalia maswala ya msingi na hata kubadilishana maneno kwa hoja we ukija na hoja yako tu wao wanachojibu ni matusi au ww chama tawala na yawez ikawa ni mtu kawaida wala huna hufangamani na chama chochote....mi sijaon mtu yeyote anashabikia hicho chama kuja kistaarabu na hata kuja na hoja kwa kubadilishana maneno zaid ya matusi na kuja hiyo victim/inferior mentality kwamba ooh eti ww ni chama tawalachukua hiyo hoja mahususi mezani katika ujumla wake, muungwana amefanya mistake ya kiwango kibaya zaidi katika historia ya kisiasa gentleman,
na hiyo ni kitaalamu zaidi 🐒
No reforms, No electionWana chadema wenyewe wanasemaje?
TunasemaWana chadema wenyewe wanasemaje?
Sasa mbona mnakosa amani? Hivi hamjui wananchi walishasusia chaguzi zenu za mchongo kabla hata ya CDM na Mnyika!Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ignored since then .Sitaki kuona sms zako kabisaAtakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
wataalamu tunao ona mbali kisiasa, ni vizuri kuwaanda wadau kisaikolojia kuhusu jambo hilo ambalo ni wazi litatokea kwa wakati muafaka.Sasa mbona mnakosa amani? Hivi hamjui wananchi walishasusia chaguzi zenu za mchongo kabla hata ya CDM na Mnyika!
Watu wapo kwa ajili ya ukombozi na si vyeo! Wananchi wanataka ukombozi na si kushiriki chaguzi ambazo wanajua wazi mtabebwa na kutangazwa washindi!wataalamu tunao ona mbali kisiasa, ni vizuri kuwaanda wadau kisaikolojia kuhusu jambo hilo ambalo ni wazi litatokea kwa wakati muafaka.
maathirika atakaosa amani pia kulingana na kosa lake wakati wa kulaumiwa ukifika
Manyika hawezi kuwa ovyo kuliko watekaji na wasingizia kesi za uhainiAtakuwa wa hovyo kuliko Serikali inayoua, kuteka na kufunga wakosoaji?
We ni.zero brain kabisaAtakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.