Tunasema
#NoReformsNoElection
Ninakazia
Tunasema
#NoReformsNoElection
ukombozi wa kutoka kwenye kukurupuka na kuropoka,Watu wapo kwa ajili ya ukombozi na si vyeo! Wananchi wanataka ukombozi na si kushiriki chaguzi ambazo wanajua wazi mtabebwa na kutangazwa washindi!
Kama hauoni hilo basi mnaona umbali wa vidole vyenu!

Cdm hawashiriki uchaguzi wa kipuuzi, na hakuna popote tutamshutumu Mnyika. Kama mlitarajia kila chama kitashiriki kama malofa, basi mmeukalia.chukua hiyo hoja mahususi mezani katika ujumla wake, muungwana amefanya mistake ya kiwango kibaya zaidi katika historia ya kisiasa gentleman,
na hiyo ni kitaalamu zaidi 🐒
hio sio kazi aliopewa, akikujibu nitagGentleman mi nadhani sasa tuwaache Chadema wajizike huko tuiunge mkono Chauma ili uchaguzi mkuu ujao maChadema waone kosalao.
Mnyika anafuata maelekezo ya mwenyekiti atafanyaje Sasa?Ukweli ni kwamba kosa kubwa sana la kisiasa wamelifanyaAtakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hadi muda huu Rungwe 2 Lissu 0Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman, unaongelea uchaguzi upi? Ni lini Tanzania kumefanyika uchaguzi wa maana zaidi ya maigizo tu ya akina Mbowe na magenge yake?Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa kinawauma nini?Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ni muhimu akaelekeza malengo na shababha yake kubadili katiba ya chama chake aliyoiita ni mbovu sana na kuboresha sheria nyingine za chama chake gentleman,Gentleman, unaongelea uchaguzi upi? Ni lini Tanzania kumefanyika uchaguzi wa maana zaidi ya maigizo tu ya akina Mbowe na magenge yake?
No Reforms, No election imeeleweka hadi kwa watoto wa shule.
View attachment 3341097

Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ni lawama ambazo hazina ahuweni wala uponyaji.Mnyika anafuata maelekezo ya mwenyekiti atafanyaje Sasa?Ukweli ni kwamba kosa kubwa sana la kisiasa wamelifanya

chukua hiyo hoja mahususi mezani katika ujumla wake, muungwana amefanya mistake ya kiwango kibaya zaidi katika historia ya kisiasa gentleman,
na hiyo ni kitaalamu zaidi 🐒
ninachoeleza ni athari za huko kukataa kushiriki michakato ya kidemokrasia bila kutathmini madhara yake kwa kiongozi binafsi anaeshiriki ukatili na mauaji ya chama hicho, na athari kwa chama chake kwa ujumlaGentleman
Unataka vyama vyote viwe kwenye mikono yenu? Haha
Chadema washasema hawataki basi tueshimu maamuzi yao, then muende na chauma
