Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

wataalamu tunao ona mbali kisiasa, ni vizuri kuwaanda wadau kisaikolojia kuhusu jambo hilo ambalo ni wazi litatokea kwa wakati muafaka.
maathirika atakaosa amani pia kulingana na kosa lake wakati wa kulaumiwa ukifika :BASED:

Chadema wanataka fair
Na nyie mnajua ngoma ikiwa fair hamtoki haha
 
Last uchaguzi wamesimamisha majimbo yote na walipata mmoja tu sumbawanga huko

Acha this time watulie kwanza,
gentleman,
ikiwa kuna changamoto mahali suluhisho sio kujiua.

chadema imejiua kilofa sana:pulpTRAVOLTA:
 
ninachoeleza ni athari za huko kukataa kushiriki michakato ya kidemokrasia bila kutathmini madhara yake kwa kiongozi binafsi anaeshiriki ukatili na mauaji ya chama hicho, na athari kwa chama chake kwa ujumla:pulpTRAVOLTA:

Kwenye haya mambo ya siasa kutake risk ni muhimu sana

Unadhan serikali haijui madhara ya kumfunga lisu? But why wamemweka ndani? Ni risk hiyo

So chadema wametake risk wanajua plan yao itakuwaje

Na ukitaka kujua jamaa wana nguvu then waacheni free muone
 
Chadema wanataka fair
Na nyie mnajua ngoma ikiwa fair hamtoki haha
fair kwa mapenzi, mahitaji na matakwa yako binafsi au kwa kutumwa na mabwenyenye utayapata kwenye familia yako na chama chako pekee gentleman,

huna haja ya kuwabwekea bwekea mamilioni ya waTanzania wasiohuskika na matakwa yako binafsi na ya chama chako:pulpTRAVOLTA:
 
Sasa watawala hamtaki suluhisho, because mnajua hamtoboi

Haha
wananchi hawana haja na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa gentleman,
ndio maana hawababaiki kabisa na uropokaji nonsense wa mwanasiasa yeyote na chama kilichopoteza uelekeo:pulpTRAVOLTA:
 
fair kwa mapenzi, mahitaji na matakwa yako binafsi au kwa kutumwa na mabwenyenye utayapata kwenye familia yako na chama chako pekee gentleman,

huna haja ya kuwabwekea bwekea mamilioni ya waTanzania wasiohuskika na matakwa yako binafsi na ya chama chako:pulpTRAVOLTA:

Gentleman
Mzungu akitaka Tanzania iwe na machafuko yanatokea dakika moja tu

Mzungu akitaka tupigane hapa ni ishu ya dakika moja tu

Huko Congo wale ni wazungu wanasukuma kete

So usiamini kama mzungu anaweza kumtuma lissu aje kuleta machafuko

Coz yeye mwenyewe bila kumtuma mtu anaweza kukinukisha
 
nisuala la muda tu kwamba, kwa wakati muafaka ,
utaungana na wenzako kumlauma sana mnyika na kumuona ni katibu mkuu nonsense sana gentleman :BASED:
Maamuzi ya kutokushiriki uchaguzi hadi yafanyike mabadiliko ni maamuzi ya yaliyopitishwa na vikao vyote vikuu vya chama cha chadema kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe.
Kwa hiyo.kwa sasa chama kipo kwenye utekelezaji wake.
Halafu kwa taarifa huyo Mnyika humfikii kwa lolote amekuacha mbali sana .
Wewe endelea kubwabwaja mitandaoni upokee buku saba zako .
Muache bwana mdogo apige kazi wewe hata ujumbe kwenye mtaa wako huwezi kupewa
 
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.

Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.

Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.

Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
wasyenge nyie si mkashiriki wenyewe huo uchaguzi kwani ni lazima chadema ishiriki,muda wote mikyundu inawawasha chadema chadema mmepata mke wa pili chauma bado mnataka na chadema maza fanta!
 
Gentleman
Mzungu akitaka Tanzania iwe na machafuko yanatokea dakika moja tu

Mzungu akitaka tupigane hapa ni ishu ya dakika moja tu

Huko Congo wale ni wazungu wanasukuma kete

So usiamini kama mzungu anaweza kumtuma lissu aje kuleta machafuko

Coz yeye mwenyewe bila kumtuma mtu anaweza kukinukisha
hayupo mzungu wala lofa yeyote kutoka popote wa kuichafua Tanzania gentleman,
chukua hiyo for free.
na uwaambie na wenzako na hao wazungu wako.

Mungu ni wetu sote, hakuna haja ya ramli:pulpTRAVOLTA:
 
wasyenge nyie si mkashiriki wenyewe huo uchaguzi kwani ni lazima chadema ishiriki,muda wote mikyundu inawawasha chadema chadema mmepata mke wa pili chauma bado mnataka na chadema maza fanta!
jikite kwenye hoja bila mihemko wala kuropoka gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
hayupo mzungu wala lofa yeyote kutoka popote wa kuichafua Tanzania gentleman,
chukua hiyo for free.
na uwaambie na wenzako na hao wazungu wako.

Mungu ni wetu sote, hakuna haja ya ramli:pulpTRAVOLTA:

Because hawana ishu ambayo ni muhimu kwao, kila kitu wanapata tena kwa mseleleko,

Nenda Ngorongoro ukaone,

Ulisikiliza bajet ya wizara ya ujenzi?

Wakandarasi wageni wanapata sh ngapi? Na wabongo sh ngapi?

So hiyo ndio sababu

Get the point kwamba kama uchaguzi ni huru na haki CCM haitoboi na wewe unajua hilo
 
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.

Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.

Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.

Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Waongelee Chauma!!!. Chadema sio viongozi pekee ni watu waliopo nyuma yao! Tatizo lenu mnafikiri chama ni viongozi. Huo ni msimamo wa mamilion No reform No election. Ni msimamo wa kijasiri kwa uzalendo wa nchi hii. Tanzania imekuwa kama rojo
 
Maamuzi ya kutokushiriki uchaguzi hadi yafanyike mabadiliko ni maamuzi ya yaliyopitishwa na vikao vyote vikuu vya chama cha chadema kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe.
Kwa hiyo.kwa sasa chama kipo kwenye utekelezaji wake.
Halafu kwa taarifa huyo Mnyika humfikii kwa lolote amekuacha mbali sana .
Wewe endelea kubwabwaja mitandaoni upokee buku saba zako .
Muache bwana mdogo apige kazi wewe hata ujumbe kwenye mtaa wako huwezi kupewa
huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,

ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.

Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.

nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will be the enemies of Chadema:pulpTRAVOLTA:
 
Waongelee Chauma!!!. Chadema sio viongozi pekee ni watu waliopo nyuma yao! Tatizo lenu mnafikiri chama ni viongozi. Huo ni msimamo wa mamilion No reform No election. Ni msimamo wa kijasiri kwa uzalendo wa nchi hii. Tanzania imekuwa kama rojo
ujasiri wa wanachadema kumtukana mnyika utakua mbaya zaidi wakati muafaka ukifika gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom