Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

Hata wangeshiriki wasingepata,

Me I can predict results before uchaguzi

Rais atapata 99%

Wabunge CCM atakosa majimbo 3 tu inchi mzima

Na wabunge wake watashinda kwa 98+%

So chadema wameliona hili
unajua kua officially chama kikuu cha upinzani wanahesabu nini na nini mkuu?

sio kushinda ubunge tu au udiwani

hadi idadi ya kura unazopata iwe urais,ubunge,udiwani,etc..kuna specific formula

unajua kwanini chadema imekua chama kikuu cha upinzani rasmi nchini?

hakuna wabunge wengi kama ACT,ila kina kura nyingi za urais nyuma ya ccm tu na kura zingine za ngazi za chini

otherwise ilikua kidogo tu ACT wachukue hiyo position,na in the coming October i doubt ACT will overtake them effectively

ni heri mkapambanie kwenye kituo cha kupiga kura upigwe mkono pale mwenye kuliko kukaa nyumbani kususa

thats a bad decision mzee!
 
Sasa hii idea yako inawafaa chauma

Ila kwa chama kama chadema wako mbaaaaaali kabisa

Wao wanataka dola

Wao wanataka nusu ya wabunge iwe chadema na wanajua uwezo huo wanao kinachowakwamisha ni hakuna fair ground

Ndio maana wanataka kuwe na mabadiliko ili mpimane ubavu vizuri
 
Hichi chama kwa bahati mbaya kimejitekea watu wenye chuki tu na kushikwa akili ambao hawana chochote zaid kwenda na upepo mana kikubwa wanachopenda na huu mchezo tu hawajali kuhusu ukwl wala kuangalia maswala ya msingi na hata kubadilishana maneno kwa hoja we ukija na hoja yako tu wao wanachojibu ni matusi au ww chama tawala na yawez ikawa ni mtu kawaida wala huna hufangamani na chama chochote....mi sijaon mtu yeyote anashabikia hicho chama kuja kistaarabu na hata kuja na hoja kwa kubadilishana maneno zaid ya matusi na kuja hiyo victim/inferior mentality kwamba ooh eti ww ni chama tawala

Mimi hii yote inajumlisha na kutoa taswira kuhus na chama chenyew brand yake na wanavyopenda kujiweka wanataka nguvu ya watu ila bahati mbaya hao watu wote wanao wateka akili zao hawana wajualo wao ni kupelekwa kwa upep tu na hawana hoja zaid ya matusi ndio akili yao ilipoishia
Mkuu uko smart kichwani. Umeongea kweli na bayana. Niliwahi kusema, bleu na nyekundu ni watu wanapenda sana watu wenye jazba, matusi, maneno makali bila kujali anazungumza na nani na ni wapi. Hio tabia ilianzishwa na viongozi wao bahati mbaya wakajizolea wafuasi wengi sana wa aina hio. Hata kwenye mijadala isiyohitaji matusi, wao watatukana tu, wenyewe wanasema hawaogopi kitu wala mtu. Sasa unajiuliza, sasa hawa, hata kwao huwa wanatumia lugha hii kuzungumza na wakubwa wao? Blue na nyekundu wanawafuasi wengi sana ila ni waina hio, watu flani hivi hawana cha kupoteza, watu flani wa dk2 mbele.
 
Sasa hii idea yako inawafaa chauma

Ila kwa chama kama chadema wako mbaaaaaali kabisa

Wao wanataka dola

Wao wanataka nusu ya wabunge iwe chadema na wanajua uwezo huo wanao kinachowakwamisha ni hakuna fair ground

Ndio maana wanataka kuwe na mabadiliko ili mpimane ubavu vizuri
una malaria mkuu

kila chama kinataka dola

hizi nyege za chadema ku assume chenyewe tu ndio chama cha upinzani ndio exactly kinafanya watu kukihama

you are one among equals mzee

ACT anataka dola,chaumma kinataka dola na wengine...chadema kujifanya ni wao tu ndio hapo mnapofelia

huwezi shika dola bila kua chama kikuu cha upinzani kwanza,huwezi ruka steps

kwanza status yenu ya chama kikuu cha upinzani baada ya october ni questionable,hakikisha una retain kwanza then ndio uende kuchukua dola

unapokaa hapa na kujifanya eti sisi wengine sio vyama chama pekee ni chadema ndio mwanzo wa nyie kufeli

now wonder chaumma na ACT wakashirikiana pamoja kwenye uchaguzi na wakafika mbali kuwazidi....ndio mtajua maharage ni mboga!
 
Sasa wao chadema hawataki tena, achaneni nao, mbona ni ishu simple tu

Mnaweza kujiunga na chauma, au chamudata, wao washasema hawataki mpaka kuwe na mabadiliko kwani ni lazima wao washiriki?

Kuna vyama vingapi vya upinzani Tanzania?

Au agenda yenu ni nini
 
shida ni nyie kuja hapa na kuanza kutukana waliopo vyama vingine ndio hatutaki

mkianza kuwatukana na sisi tunawatukana the same way

kaeni na chama chenu na sisi tukae na vyama vyetu,mambo ya dharau hatupendi

C4C kampeni na chopa juu,inaanza tarehe 30,siku 16 straight,baada ya hapo turudi hapa kuongea!

Maana mnajiona mmehodhi politics za hii nchi to the extent ya kutukana na kudharau wanadamu wengine!
 
Mnaitaji kupata shule kubwa kutoka kwa gentleman, mnaitaji kujifunza sana kwake,

Nani ametukana chama kingine?

Hapa tunaongea hoja kwa hoja, sio mambo ya maneno ya matusi,

Sasa vijana uwa mnajiona mnajua sana kwa kuandika matusi

Jifunze kwa wenzako, and remember hapa sio tagged au badoo hapa ni jf forums

Na uwe unaangalia kipengele cha umri kabla ya kujiunga

Nenda kwenye jukwaa la mahusiano huko, ukaandike matusi, hapa sisi tunaonana hoja kwa hoja
 
huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,

ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.

Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.

nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will the enemies of Chadema:pulpTRAVOLTA:
Wewe jamaaa kichwani kwako ni mweupe hayo maamuzi yalifanywa na vikao halali vya chama .Kinachofanyika kwa sasa ni kuendelea na utekelezaji wake.
Lwa hiyo ulitaka uongozi Moya ulioingia nullify maamuzi ya vikao halali vya chama .
Wewe jamaa naoana kichwa chako kinatumika.kama mfuniko wa. Mabega tu na hakina hata ubongo wa kufikiria
 
huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,

ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.

Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.

nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will be the enemies of Chadema:pulpTRAVOLTA:
Wewe ndio mpotoshaji agenda ya no reforms.no election ni ya muda mrefu .
Sasa nyie si muendelee na uchaguzi wenu..?
Kwani chadema wasiposhiriki unaumia nini?
Watu wengine mnaonekana machizi
 
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.

Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.

Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.

Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tuliza mshono wako,na ukilaza wako vyama vyote kama ww kweli una AKILI TIMAMU lzm unajua tulikotoka,toka mwaka ule wa 2019,2020 na 2024 mwaka wa jana tu hebu kama kweli ww una Akili TIMAMU nn kilitokea hadi John Mnyika alaumiwe kwa no reforms no election,hebu niambie hapa na wenye Akili TIMAMU hapa jamii forum wakuelewe kuwa nn kimewatokea wapinzani kupitia wagombea wao?Sema hapa ukiwa hauna mtindio wa ubongo watu watakuelewa maana jamii forum hili sio jukwaa la vilaza na slow learners.
 
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.

Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.

Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.

Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ni maamuzi gani hayo yaliyofanywa na mnyika yanayokigharimu chama?
 
Watu wapo kwa ajili ya ukombozi na si vyeo! Wananchi wanataka ukombozi na si kushiriki chaguzi ambazo wanajua wazi mtabebwa na kutangazwa washindi!
Kama hauoni hilo basi mnaona umbali wa vidole vyenu!
Ukombozi dhidi ya nini?.Ukombozi wako utakuja siku ukifa.Duniani hapa kama huna mbele wala nyuma purukushani hadi siiku unaondoka.Vinginevyo utaimba wimbo wa ukombozi hadi utakoma uku wenzako wakiila nchi kwa mrija.
 
unajua kua officially chama kikuu cha upinzani wanahesabu nini na nini mkuu?

sio kushinda ubunge tu au udiwani

hadi idadi ya kura unazopata iwe urais,ubunge,udiwani,etc..kuna specific formula

unajua kwanini chadema imekua chama kikuu cha upinzani rasmi nchini?

hakuna wabunge wengi kama ACT,ila kina kura nyingi za urais nyuma ya ccm tu na kura zingine za ngazi za chini

otherwise ilikua kidogo tu ACT wachukue hiyo position,na in the coming October i doubt ACT will overtake them effectively

ni heri mkapambanie kwenye kituo cha kupiga kura upigwe mkono pale mwenye kuliko kukaa nyumbani kususa

thats a bad decision mzee!
Idea ya No reform No election ingekuwa na maana kama wanaowapigania wangetoka kuwaunga mkono basi badala hii ya kuunga mkono kwenye keyboards tu
 
Back
Top Bottom