Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

Gharama ya mabadiliko sio nyepesi, hii Risk ambao chadema imeifanya ....ni kubwa sana ....
1. Inaweza kuwaua kisiasa
2. Kuwainua kisiasa
Hata mbowe aliwai kufanya risk ya namna hii, alipompokea lowasa huku ni mtu ambaye alimtaja kwenye list of shame kama Fisadi hapa mzee silaa akakimbia,
Chadema ilipata mafanikio makubwa kwa muda mfupi ili ilipoteza imani kwa wananchi ikaonekana ni genge la wala rushwa alafu ccm wakawa wanaonekana wazalendo.
3. Chadema inapitia kipindi cha kufa ili izaliwe mpya au ibaki shimoni.....maana Lisu amerudisha imani kwa wananchi ila amepoteza watu na fedha (ruzuku).

Ila watu wanaifahamu chadema ilijengwa kwenye imani kuliko fedha na watu, watu walikuwa wanajikusanya wanaanzisha tawi wanalipa kodi ya ofisi....

Naamini, Mwisho Chadema itaibuka mshindi ila watateseka sana.
Mnyika angesaini ile fomu ndio mambo yangekua mabaya sasa..
Hili kundi lisingehama,ila wangechukua fomu na kufanya figisu wakagombea.
 
Back
Top Bottom