Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
ni weakness ya uongozi wao kupoteza kada ya wanachama wazoefu tena proven,tena wenye skills namna hiiAtakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
funny enough wameondoka wanawake wengi kuliko wanaume,which shows something else which is really bad
failure ya wao kama wao kuunganisha makundi yao ndani na kua kitu kimoja ni kosa lao wenyewe
wasimlaumu yeyote,naona wanajaribu kuleta propaganda za eti hela za ccm na blah blah zingine za ajabu,ni muendelezo wa propaganda zile zile za kukwepa majukumu
atajijua
kwenye ukatibu mkuu,salum mwalimu sio mwepesi mwepesi kiivyo,he can hold his own,game changer ni FAM akisema anaingia its on!



