Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

Huna lolote wewe. Unataka mimi nikae kwenye kochi nyumbani halafu nije na jina la mkurugenzi wa Tanesco. Huu ujinga ndiyo unafanya shirika lifeli. Badala ya kutaga wapatikane kitaalam wewe unaleta longolongo zako hapa.
Basi tulia

Maana umekaa kwenye kochi hilohilo unakandya kila kitu nyie ndio mnaotazama soka kwa midadi na mitusi wakati miguu yote ya kushoto
 
Ile software walionunua na January ya billions 70 kutoka kuwa wahindi ingeisaidiaje TANESCO ili hali shirika halikuwa na matatizo kwenye distribution?
Mama Abdul kwa kuwakingia kifua hawa vijana majambazi unaipeleka nchi kubaya . Hawa wezi wanatakiwa wawe jela hivi sasa kwani hawawezi kuthibitisha kuwa nyumba walizonunua huko Dubai hazikutokana na ufisadi wao hapo TANESCO!
 
Biteko tutamuonea bure, hana zaidi ya kwenda ku trouble shoot na kufanya mapendekezo.

Wenye dhamana ya mashirikaya umaa ni Mkumbo na Mchechu. Tusihau hilo. Waziri wa Nishtati hana ujanja kwenye mashirika ya umma.
Mbona makamba alipokuwepo alihusika kwenye kila jambo, kila mpango na alikuwa kama msemaji wao kumkingia kifua mabeans? Mbona wakati wa Dowans na richmonduli hatukusikia msajili kahusishwa na kuwajibishwa? Siku zote ni katibu mkuu na waziri. Msitumike kirahisi hivyo
 
Kenya waligawa shirka la umeme na sasa wanataka kuliunganisha tena.

Kwa Tanzania kwa sasa kugawa shirika sio akili wala maamuzi ya busara.

Fikiria hivi.
1. Generation wakizalisha umeme, watauzia transmission.

2. Transmission watauliza distribution kwa profit margin.

3. Distribution watauzia wateja wadogo wadogo kwa profit margin.

Mwisho mteja ndie atabeba mzigo wote wa hizo department.

Ndio maana nchi kama Kenya gharama za umeme ziko juu sana kwa sababu kama hizo.

Je watanzania wataweza kubeba gharama halisi za umeme?

Kumbuka Tanesco wameshasema mara nyingi kwamba bei yao ya umeme haiko halisi, ni bei ya chini kuliko uhalisia.

Hilo jambo limewashimda Kenya.
 
Hakuna cha nani wala nani. Mashirika yote ya umma toka awamu ya kwanza hayana ufanisi. Unafikiri kwanini yalibinafsishwa?
Mashirika ya umma hayana ufanisi BONGO tu lakini mbona Nchi nyingine yana ufanisi!! Unafahamu kuwa ETHIOPIAN AIRLINES ni shirika la umma?
 
You are making one wrong assumption kuwa GENERATION, DISTRIBUTION NA TRANSMISSION zitakuwa owned by different entities!! Hiyo model yako ni hiyo madalali walioko planning commission wanaipigia chepuo ili wauze na kupata commission yao!!
The model being advocated here is where the entities while separate but are still Mali ya UMMA; so hilo suala la profit spread will easily be mitigated!
Sio lazima kama Kenya wameshindwa na Tanzania nayo ishindwe! Tusiwe wavivu wa kufikiri.
 
Mashirika ya umma hayana ufanisi BONGO tu lakini mbona Nchi nyingine yana ufanisi!! Unafahamu kuwa ETHIOPIAN AIRLINES ni shirika la umma?
Nfahamu sana, sheria zao huko wanauwana kimya kimya mtu akifanya ufisadi, hafikishwi mahakamani, mnasikia tu fulani hatunae. Bila kutangazwa bila kujulikana kafanya nini, watu wanamfungia kazi.

Kuna kufanya ufisadi tena hapo? Thubutu.
 
Nfahamu sana, sheria zao huko wanauwana kimya kimya mtu akifanya ufisadi, hafikishwi mahakamani, mnasikia tu fulani hatunae. Bila kutangazwa bila kujulikana kafanya nini, watu wanamfungia kazi.

Kuna kufanya ufisadi tena hapo? Thubutu.
Kamanda kweli unaafiki mtu atumie billoni 70 za walala hoi na bado watu hawapati umeme na wahusika bado wanalamba asali?
 
CCM INACHUKUA SANA FEDHA ZA TANESCO KWA SHUGHULI ZA CHAMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kamanda kweli unaafiki mtu atumie billoni 70 za walala hoi na bado watu hawapati umeme na wahusika bado wanalamba asali?
Sijakuelewa kabisa.

Mimi ushauri wa nini kifanyike nimeshautowa post namba moja.
 
Jazakillahu khyra hapa umenena mama mtu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ila huwa nashangaa Sana nipo dodoma mbona umeme haukatiki huku kabisa

Kuna nini hasa Dodoma

Yaani huku tunaskia Tu huko dar mnavyolalamika


Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Sijakuelewa kabisa.

Mimi ushauri wa nini kifanyike nimeshautowa post namba moja.
Ustadhi hapo hujaelewa nini? Ufisadi umefanyika na bado hatuna umeme na wahusika bado wako barabarani
Kuhusu ushauri wako what I can say is , your ideas are POSSIBLE BUT NOT PRACTICAL!!!
 
Utawasukumije hao lawama bila kuanza na Samia? Tatizo lako ni unafiki husemagi ukweli kwa mtu wa upande wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…