Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

Zz nation

Mgawo oyeee

Tanesco tunaangaza maisha yako

[emoji1]

Ova
 
Haimaanishi hivyo ingawa alikuwa na maono mazuri sana Kwa Tanesco yenye ufanisi na tija Kwa Taifa, akaingiwa na tamaa baada ya kuona kumbe hili shamba kuuuuubwa naweza jipigia nitakavyo hapo pakawa shida akiwa na mshirika wake waziri husika.
Pale wapate brand nzuri yenye ufahamu zaidi ya Maharage Kwa mashirika makubwa namna ya uendaleshaji wake huku nyuma akiwa na wasimamizi wengi wenye kufuatilia kila Jambo hata la Namtumbo kule.
Kwa mfano nani?
 
Hapo ni Kwa wazee wa vetting + kujuana , tunaishia kushauri juu juu tu , isije onekana anasagiwa mtu kunguni na kufagiliwa mwingine.
Failed

Man suggestions alfu hewa

But when asked for options mnamangamanga
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Mbona wakati wa Magufuri haya madhira hayakuwepo,Tatizo haliko Tanesco,matatizo yako kwa viongozi wa juu wa serikali
 
Biteko tutamuonea bure, hana zaidi ya kwenda ku trouble shoot na kufanya mapendekezo.

Wenye dhamana ya mashirikaya umaa ni Mkumbo na Mchechu. Tusihau hilo. Waziri wa Nishtati hana ujanja kwenye mashirika ya umma.
Kwamba waziri wa Nishati hapaswi kulaumiwa kwa hili?
 
Failed

Man suggestions alfu hewa

But when asked for options mnamangamanga
Yupi wa kufanyia kazi mawazo ya jf? Amini ya kwamba smart people wapo na hata mle ndani ya shirika kuna baadhi ya vichwa si vya kawaida katika utendaji mfano take Kwa Meneja wa Tanesco KAGERA.
 
Thanks at least umetoa mfano

How is kagera performing?
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Tatizo la umeme nchi hii lilianza siku yule darling twitter alipoteuliwa kuwa waziri wa nishati hao wengine mnawabebesha lawama bure
 
Bila kumumunya maneno [emoji4]

Watailaumu Tanesco lakini Tanesco ni kama mkwezi tu wakati nazi imeliwa na mwezi.
Chadema akiingia tu shida zitakwisha

Au sio? Khehekhekheheheee
 
Makusanyo ya nchi yapo centralised, mikoa inunue umeme..funny but not funny!!
 
Wanaweza devolve

But key Issue here ni overall strategy ya nishati yetu Muhimu

Hatujawahi kutekeleza one strategy consistently kwa ten years
 
Chadema akiingia tu shida zitakwisha

Au sio? Khehekhekheheheee

Wewe wasema.

Inategemea,

Mabadiliko yatakayopelekea uboreshwaji wa utendaji na maendeleo ya wananchi sio lazima yaletwe na chadema,

Inaweza kufanyika vinginevyo kabisa.

Kwani wakati wakati wa kudai Uhuru matharani kulikuwa na chadema ?

Je Uhuru ulipatikana haukupatikana?
 
Mbona wakati wa Magufuri haya madhira hayakuwepo,Tatizo haliko Tanesco,matatizo yako kwa viongozi wa juu wa serikali
Alikuta mitambo mipya kabisa ya Gas iliyowekwa na Kikwete, Kinyerezi l, ll, lll na lV, umesahau?
 
Bila kubomoa mfumo wa uongozi wa nchi yetu ni bure. Shida inaanzia namna tunavyowapata viongozi wetu na wanaposhindwa kuwajibika hakuna namna ya kuwafanya. Ukitaka kuiboresha Tanesco anza kurekebisha namna rais anavyopatikana na majukumu yake. Vinginevyo, kuangalia failure za ngazi za chini tu ni kama ukichaa.
Hata uongozi ushushwe na buibui hakuna Mtanzania mwenye ujanja wa kuendesha mashirika makubwa kwa sasa.

Niambie nani anaeweza kuongoza shirika kubwa bila ujinga?
 
Alikuwepo Kalemani akabadilishwa kimizengwe wakaletwa watu siyo wajuzi yule mandondo na marope wakaharibu kabisa
Hakuna cha nani wala nani. Mashirika yote ya umma toka awamu ya kwanza hayana ufanisi. Unafikiri kwanini yalibinafsishwa?
 
Back
Top Bottom